PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Comrades!
Ni kweli chama kimeshinda uchaguzi!kweli! Hivyo hivyo!
Tunaendelea kushika Dola kama kawaida yetu!

Lakini,Ili tupone au jus neutralize hali ilivyo sasa!

Yona atoswe,kukiokoa chama na serikali yake!

Tunaweza ku fake kwamba anaumwa na hawezi kuendelea na majukum yake na Kwa mujibu wa kitabu makam aendelee kutekeleza ilani!!

Nawaza tu mwenzenu!

Mungu ibariki Tanzania!!!
 
Bado unakaza tako?

Endelea tu kukaza tako. Desemba 9 tunaandamana na tuueni wote ila jueni tu sasa Dunia imewakalia kooni.
Mtakufa kweli na hiyo dunia inawatazama tu.
Kuna Congo, Gaza, Ukraine na Sudan hiyo dunia sio ipo imefanya nini?
 
Ndio maana nimewaCC miCCM n TISS labda kuna wachache wenye AKILI,ili kufanya Maamuzi
 
Sio mtu mmoja...Polepole aliwataka wahuni!

"A group of bandits"
 
Kwanza RPC wa mwanza Dar, Arusha, Mbeya walitakiwa kuwa wamefukuzwa kazi wapo jela mda huu
 
Kuficha ushahidi wamesha chelewa
Walizima internet wakamtoa kafara Jerry Slaa kisa alikataa wasizime internet sasa wanajutia kumkomoa slaa kukosesha ubunge wataungana na akina Bashe Bashungwa na wote walokosa uwaziri kuidhoofisha nguvu ya kuficha ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…