we kweli chawa tahila, hospital ya wilaya ilemKwanza wewe ni mjinga na mpumbavu,video ni hospital ya Ilemela wewe unaweka picha za hospital ya Mkoa ambayo sio mada hapa.
Haya kama alijenga Hako kawodi kamoja utamlinganisha na Samia aliyejenga Hospyza Wilaya zote huko Mwanza?
Utamlinganisha na Samia ambae anajenga Haspitali Mpya ya Rufaa ngazi ya Mkoa Ukerewe?
Mwisho vyote ulivyoorodhesha hapo hakuna hata kimoja alikamilisha yaani miaka 6 alikamilisha nini sasa maana hata Hilo Jengo la Hospital ya Mkoa amemalizia Samia.
Kiufupi Shujaa wenu alikuwa vuvuzela ila hakuna tangible Cha kuonesha alichokamilieh ahapp Mwanza Kwa miaka yote aloyokuwa Rais.
Mara shule zilikuwa zinajengwa miaka yote zioneshe hapa za Samia nimekuonesha na zingine hizi hapa ππ
View: https://youtu.be/sfn6OAXFZr0?si=91NL-nEpl4527YJ-
View: https://youtu.be/z22fxuMt2Mo?si=QMjxqMhmbTZNcHSI
Kweli wewe ni chawa tahila na senge, yaani wewe mwenyewe umepost video ya hospitali ya Nyamagana saizi tena unasema umepost ya ilemelaππ, hapo hapo nyamagana ulipopost JPM naye alishaweka jengo la wodi ya wanaume na picha nimekuwekea, nikakupa na nyongeza ya Jengo la sekou toure ambalo JPM alijenga sehemu ambapo mama yako hajagusa kabisa.Kwanza wewe ni mjinga na mpumbavu,video ni hospital ya Ilemela wewe unaweka picha za hospital ya Mkoa ambayo sio mada hapa.
Haya kama alijenga Hako kawodi kamoja utamlinganisha na Samia aliyejenga Hospyza Wilaya zote huko Mwanza?
Utamlinganisha na Samia ambae anajenga Haspitali Mpya ya Rufaa ngazi ya Mkoa Ukerewe?
Mwisho vyote ulivyoorodhesha hapo hakuna hata kimoja alikamilisha yaani miaka 6 alikamilisha nini sasa maana hata Hilo Jengo la Hospital ya Mkoa amemalizia Samia.
Kiufupi Shujaa wenu alikuwa vuvuzela ila hakuna tangible Cha kuonesha alichokamilieh ahapp Mwanza Kwa miaka yote aloyokuwa Rais.
Mara shule zilikuwa zinajengwa miaka yote zioneshe hapa za Samia nimekuonesha na zingine hizi hapa ππ
View: https://youtu.be/sfn6OAXFZr0?si=91NL-nEpl4527YJ-
View: https://youtu.be/z22fxuMt2Mo?si=QMjxqMhmbTZNcHSI
Pesa aliziacha, lakini badala ya kuendeleza miradi hiyo zikaanza kutumika kuwalipa nyie Chawa na kasi ya miradi ikapungua,Kwa hiyo alikufa na pesa au? Kwa nini alishindwa kukamilisha miradi ambayo ilikuwa imeshaanza Hadi asubirie huo mwingine? Mfano Soko kuu,stendi zote 2,mradi wa Maji Butimba nk?
Au miaka 6 alikuwa anafanya nini hapo Mwanza?
Kwenye list umeona Kuna miradi ya tactic tuu? Toa ujinga wako wa kule kwenye Ligi.Hamna kitu hapo Samia haipendi Mwanza, miradi. Mizuri yote Dodoma, Dsm na kidogoooo Arusha, Miradi ya mwanza kwa awamu ya 6 ni tiamajitiamaji tu hizo TACTICS zipo kila mkoa na kila manisapaa koo hakuna jipya hapa, majiji kama mwanza, Mbeya na Tanga hayapendwi na serikali na hayapewi stahiki zake kama ilivyo Dsm na Dodoma, Kuna special projects kwa Dsm na Dodoma, mfano Dar es salam Metropolitan development project (DMDP) project kama hii inatakiwa na majiji mengine yapewe ili ya move on, Serikali iache kukalili kila kitu Dsm na kwa sasa kila kitu Dom it is not fair ππHaiwezekani serikali inakopa pesa halafu pesa zote zinaishia kwenye mji mmoja tu hii sio, Dsm phase one ilikula 800b na phase 2 imekula kama 700b,halafu baadae watu wanaanza kupondea miji ya mikoani haiendelei na wakati haipewi support, Tanzania inahitaji kuunda miji kama Dar es salaam kwa kila kanda, Kusini mbeya, kaskazini Arusha, lake zone Mwanza na kanda ya kati Dodoma ili tupunguze ulimbukeni wa vijana kukimbilia Dsm na tupunguze mentality ya viongozi wetu walio kalili kila kitu Dsm,
Pesa gani alizoziacha? Kwa mfano aliziacha pesa za mradi upi? Kwa thinking hii na wewe unajiita una akili? Mnatofauti gani na kuku?Pesa aliziacha, lakini badala ya kuendeleza miradi hiyo zikaanza kutumika kuwalipa nyie Chawa na kasi ya miradi ikapungua,
eti kwa nini alishindwa kukamilisha miradiπππ kweli chawa ni chawa tu, kwani awamu yake alimaliza, Kwani mikataba na hayo makampuni yanayotekeleza miradi ilikuwa imemalizika!! tumia akili basi wewe chawa mchafu, miradi yote ilikuwa ndani ya muda kimkataba hadi anaondoka, na ile iliyopaswa kumalizika kimkataba kabla ya 2021 ilimalizika, mfano upanuzi wa barabara ya airport, ujenzi wa barabara ya kiseke, ujenzi wa daraja la furahisha, ujenzi wa hospital ya wilaya ya misungwi, ujenzi wa barabara ya buswelu kutokea nyakato, nk, hakuna alichokiacha ambacho kilikuwa nje kimkataba, vyote vilikuwa ndani ya mkataba na angevikamilisha ndani ya muda wa mkataba, umeelewa chawa.
Mwanza ni business hub kwa ukanda wa maziwa makuu, Hii ilitakiwa iwe Dar es salaam nyingne hapa nchini, ni vile tu serikali imeziba masikioKwenye list umeona Kuna miradi ya tactic tuu? Toa ujinga wako wa kule kwenye Ligi.
Mwisho Tactic imependelea zaidi Mwanza kuliko Majiji mengine.
Swala la Serikali kujenga zaidi Dar na Dom sababu zinajulikana.
Dom ni HQ ,Dar ni Economic and Commercial City,Mwanza,Mbeya nk upate miradi sawa na hayo Majiji Kwa hadhi gani?
Mwisho Kwa miradi iliyoko Mwanza ,Samia amewapendelea sana mnatakiwa kumshukuru.
Mlichopata ndio kinaendana na hadhi yenu ya Kanda,hao wengine hadhi zao ni KitaifaHamna kitu hapo Samia haipendi Mwanza, miradi. Mizuri yote Dodoma, Dsm na kidogoooo Arusha, Miradi ya mwanza kwa awamu ya 6 ni tiamajitiamaji tu hizo TACTICS zipo kila mkoa na kila manisapaa koo hakuna jipya hapa, majiji kama mwanza, Mbeya na Tanga hayapendwi na serikali na hayapewi stahiki zake kama ilivyo Dsm na Dodoma, Kuna special projects kwa Dsm na Dodoma kama Dar es salam Metropolitan development project (DMDP) project kama hii inatakiwa na majiji mengine yapewe ili ya move on, Serikali iache kukalili kila kitu Dsm na kwa sasa kila kitu Dom it is not fair
Mwanza ni business hub kwa ukanda wa maziwa makuu, Hii ilitakiwa iwe Dar es salaam nyingne hapa nchini, ni vile tu serikali imeziba masikio
we bata pesa za mradi wa soko la kirumba aliziacha na ndizo mnazolipwa nyie machawa kupiga haya mapambio, Hakuna mradi ulikuwa nje ya mkataba we bata.Pesa gani alizoziacha? Kwa mfano aliziacha pesa za mradi upi? Kwa thinking hii na wewe unajiita una akili? Mnatofauti gani na kuku?
Kwa taarifa Yako tuu miradi yote ilikuwa Nje ya mkataba ,hakuna kilichomalizika ndani ya mkataba ukiacha hizo Barabara za mradi wa ULGSP ambazo zilijengwa na kwingineko.eg Soko kuu la Mwanza ,Stendi nk zote hizo zilitakiwa kukamilika kabla ya 2021 ila ilishindikana Kwa sababu haikuwa na pesa ila mdomo saaana.
Hadi airport ilimshinda, Kampuni yake ya Mayanga ikapiga hela za kujengea Airport wakasepa ππ
π¨π¨π¨π¨ TIA Mwanza Campus π πwe kweli chawa tahila, hospital ya wilaya ilem
Kweli wewe ni chawa tahila na senge, yaani wewe mwenyewe umepost video ya hospitali ya Nyamagana saizi tena unasema umepost ya ilemelaππ, hapo hapo nyamagana ulipopost JPM naye alishaweka jengo la wodi ya wanaume na picha nimekuwekea, nikakupa na nyongeza ya Jengo la sekou toure ambalo JPM alijenga sehemu ambapo mama yako hajagusa kabisa.
Eti kajenga hospitali mpyaπππππ chawa buana, hospitali ipi hiyo?! kwa taarifa yako wewe chawa wa makete, JPM kajenga hospitali mpya ya wilaya ya Ilemela wala sio Samia, Soma hiyo habari ya 2019
Misungwi pia JPM kapiga hospitali mpyaa ya wilaya afu unaleta poroja za kichawa hapa eti samia kajenga hospitali zote za wilaya mwanzaπππ chawa katika ubora wako.
Kwa nini aziache badala ya kuwalipa wakandarasi au kuanzisha Ujenzi?we bata pesa za mradi wa soko la kirumba aliziacha na ndizo mnazolipwa nyie machawa kupiga haya mapambio, Hakuna mradi ulikuwa nje ya mkataba we bata.
hadi sasa machawa mnamaliza mwaka wa nne hakuna mradi mliokamilisha wala mradi wowote wa maana mlioanzisha, mlichobakiza ni kujisifia na miradi ya JPM, sasa anamaliza mhula wa kwanza hakuna mradi wowote wa maana ulionzishwa na kukamilishwa.
Tunaendelea kuweka rekodi sawa dhidi ya nyie wapotiehaji.Hizi nyuzi zenu hazifai na sio afya kwa Mwanza maana mnasababisha viongozi wainyime mwanza heavy projects kwa kauli kama hizi eti inapendelewa, imependelewa nini hapo hivyo vijimiradi ni vidogo sana, Dodoma na Mwanza wapi kuna congestion? Lakini huko jangwani wana 110 outer ring tena dual carriage hadi maporini na sasa wanakuja na inner ring dual carriage, Mwanza inahitaji barabara zaidi kuliko hata huko jangwani
Hamna kitu hapo, Mwanza hitaji kubwa ni barabara kuu zake zimechoka barabara nyembamba kama ulimi wa mbwa, kwanza leo mabasi ya Asante rabi na Nyehunge yamegongana uso kwa uso maeneo ya ukirigulu chanzo kikubwa ni wembamba waka barabaraTunaendelea kuweka rekodi sawa dhidi ya nyie wapotiehaji.
Kazi imekamilika Mkuyuni ni mwendo wa shule za magorofa tuu chini ya SSH ππ
View: https://www.instagram.com/tv/CnVF-M3jQ4m/?igsh=N2pnNTB3NGRvaGJ1
My Take: Shule hizi za Magorofa zinajengwa Dar,Arusha,Mwanza na Tunduma .
Acha ujinga ,Mwendokasi na ufinyu wa Barabara wapi na wapi? Au ajali hutokea huko kwenu tuu?View attachment 3132383shida ni ufinyu wa barabara, njia mbili hazifai kwa sasa
Wewe mshamba wa Mwanza jifunze ku post picha vizuriwe kweli chawa tahila, hospital ya wilaya ilem
Kweli wewe ni chawa tahila na senge, yaani wewe mwenyewe umepost video ya hospitali ya Nyamagana saizi tena unasema umepost ya ilemelaππ, hapo hapo nyamagana ulipopost JPM naye alishaweka jengo la wodi ya wanaume na picha nimekuwekea, nikakupa na nyongeza ya Jengo la sekou toure ambalo JPM alijenga sehemu ambapo mama yako hajagusa kabisa.
Eti kajenga hospitali mpyaπππππ chawa buana, hospitali ipi hiyo?! kwa taarifa yako wewe chawa wa makete, JPM kajenga hospitali mpya ya wilaya ya Ilemela wala sio Samia, Soma hiyo habari ya 2019
Misungwi pia JPM kapiga hospitali mpyaa ya wilaya afu unaleta poroja za kichawa hapa eti samia kajenga hospitali zote za wilaya mwanzaπππ chawa katika ubora wako.