Hamna kitu hapo Samia haipendi Mwanza, miradi. Mizuri yote Dodoma, Dsm na kidogoooo Arusha, Miradi ya mwanza kwa awamu ya 6 ni tiamajitiamaji tu hizo TACTICS zipo kila mkoa na kila manisapaa koo hakuna jipya hapa, majiji kama mwanza, Mbeya na Tanga hayapendwi na serikali na hayapewi stahiki zake kama ilivyo Dsm na Dodoma, Kuna special projects kwa Dsm na Dodoma, mfano Dar es salam Metropolitan development project (DMDP) project kama hii inatakiwa na majiji mengine yapewe ili ya move on, Serikali iache kukalili kila kitu Dsm na kwa sasa kila kitu Dom it is not fair 🙏🙏Haiwezekani serikali inakopa pesa halafu pesa zote zinaishia kwenye mji mmoja tu hii sio, Dsm phase one ilikula 800b na phase 2 imekula kama 700b,halafu baadae watu wanaanza kupondea miji ya mikoani haiendelei na wakati haipewi support, Tanzania inahitaji kuunda miji kama Dar es salaam kwa kila kanda, Kusini mbeya, kaskazini Arusha, lake zone Mwanza na kanda ya kati Dodoma ili tupunguze ulimbukeni wa vijana kukimbilia Dsm na tupunguze mentality ya viongozi wetu walio kalili kila kitu Dsm,