Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila jamani CCM siipendi lakini huwa inafikia hatua ninawa appreciate Hawa jamaa kwa baadhi ya Mambo Sana wako smart hususani ile inaitwa kamati ya siasa,Kuna sehemu Fulani ,huko shinyanga maeneo ya kahama,kulikuwa na mgogori wa shule moja ya sekondari,walikuwa wanagombana madiwani ,namna ya kuimiliki na kuiendesha hiyo shule,ni mgogoro uliodumu kwa miaka takribani 20,Sasa siku moja asubuhi kamati ya siasa ya wilaya na mkoa waliamkia hapo, haijulikani aliyewaalika ninani,ilistukia kijani tu kimetapakaa hapo shuleni,yaani mgogoro uliodumu kwa miaka takribani 20 ulimalizwa kwa dakika 10 tu, ni amani Hadi Leo,huwezi kusikia fyoko Wala fyuu! Kwa hiyo,Hawa jamaa bwana huwa tunakaa nao 50/50 ,sijui walipewa karipio gani hao waliokuwa wanazozana,karipio Kali kiasi hicho
 
Nadhani Magu aliipendelea Kanda ya Ziwa!
Vinginevyo mama ameiendeleza kama jitihada za kujaribu kuwafanya Wasukuma wasahau Kifo cha Mpendwa wao Magu ambao mpaka leo hawaamini kama alikufa kifo cha Kawaida!
 
Nadhani Magu aliipendelea Kanda ya Ziwa!
Vinginevyo mama ameiendeleza kama jitihada za kujaribu kuwafanya Wasukuma wasahau Kifo cha Mpendwa wao Magu ambao mpaka leo hawaamini kama alikufa kifo cha Kawaida!
Hakuna miradi ya maana alijenga ya kusema ameipendelea unless unitajie hiyo miradi.

Magu alipendelea kwao Chato na sio huko Kanda ya Ziwa kama inavyosema wewe.

Mwisho Mama amemwaga miradi Mingi huko Mwanza sio Kwa sababu za Kisiasa Bali Kwa sababu ya wajibu wake.

Hiki alichofanya huko Mwanza Iko hivyo na Mikoa mingine unless wewe hujui.

Mama ndio ameweka alama kubwa ya Maendeleo.Kazi Bado inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBto0QUiI7F/?igsh=MWw2bXNranJ3NTVkZg==
 
🚮🚮🚮🚮 Kwa hiyo Magufuli aliwaletea mbegu?

Mwisho usiweke ujumuishi sema wewe maana sio Kila anaeishi Mwanza ni mjinga kama wewe.
Hahaha ungekuwa na akili hata kidogo usinge andika ujinga ulio andika. Yani Mzanzibari atujengee miundo mbinu mwanza? ili iweje? Zanzibari wametosheka?
 
Hahaha ungekuwa na akili hata kidogo usinge andika ujinga ulio andika. Yani Mzanzibari atujengee miundo mbinu mwanza? ili iweje? Zanzibari wametosheka?
Wewe unaona anawajengea nini? Kinachojengwa miundombinu ni pesa au Uzanzibari ama usukuma wako?

Anachowajengea sio tuu miundombinu Bali na Huduma zingine zikiwemo Afya ,Elimu,maji nk.

Uwezo wako wa akili afadhari ya kuku 😁😁👇👇
 
Hata yule mlipomjaza misifa asiyostahili ilibidi GOD amteke jumla!
Beware na huyu saa zake zinahesabika ataimbiwa ROAST IN HELL RIH
 
Hata yule mlipomjaza misifa asiyostahili ilibidi GOD amteke jumla!
Beware na huyu saa zake zinahesabika ataimbiwa ROAST IN HELL RIH
Jikite kwenye hoja ya miradi na useme sifa ipi hastahili hapo au amepewa sifa za Mungu?

Acha ujinga
 
Fala wewe,Kwa hiyo mwaka 2022 Shujaa wako ndio alikuwa Rais? Kama umeishiwa pita huko
Punga wewe 2020 huyo mama yako alikuwa Rais, kwa taarifa yako we punga ujenzi wa hilo soko hata Anjelina Mabula kajinadi nalo sana kwenye kampeni za 2020, na katika vitu ambavyo watu walikuwa wanamponda huyo mama yako ni pamoja na kusimama kwa ujenzi wa soko hilo baada ya JPM kufariki.
 
We boya Bado hujasema yaani sijasikia.Mnajinadi Kwa mgongo wa Samia 🤣🤣

Ujenzi wa soko ni pesa sio maneno mliyokuwa mnadanganya wajinga wenzenu.

Na Bado ndio kwanza kumekucha Kwimba ,wapi Shujaa 😁😁

View: https://www.instagram.com/reel/DBtHLBct9HI/?igsh=MWs0cWpoMmxvNHJxbg==
 
Mradi wa Malya Sport Complex mbona ushakamilka muda tu na training ground inatumika sana. Fanya research vizuri usikurupuke tu.
Kuna Vitu vingi umeorodhesha kama vipya wakati vilishapangiwa budget na mzee Magu kabla hajafariki na mingine ilikuwa ishaanza mfano barabara ya Hungumalwa- Ngudu.
 
Tumejipangaaa, mwaka huu waisoma....

Napendekeza Mkoa wa Mwanza umzawadie Samia kiwanja, awe msukuma kabisa, tena cha ziwani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…