Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Angalia ziara za Rais Samia Mwanza toka ameingia madarakani na ujue kwa mwanzo hawakumuunga mkono lakini kwa sasa kanda ya ziwa wameshamkubali , pale akisimama makonda kumuombea Kura , pembeni biteko Kura sijui ataziweka wapi , ndio maana alishtuka akaamua kwenda na watu wa jpm
 
Ukweli ni kwamba wale watu wote wa jpm ambao Samia kawarudisha wamefanya siasa yake iwe nyepesi maeneo mengi ya Tanzania , alijaribu kua na watu wake lakini wengi wao alimuharibia kazi tu na kuvuruga bahati nzuri alishtuka mapema
Naam swadakta 🀜
 
Hoja nyepesi nyepesi kama hizi kuzijadili na mtu kama wewe ni kupoteza muda tu!
Endelea tu na maigizo hayo; lakini hata hao mnao waonyesha mazingaombwe hayo nao mwishowe wataona upuuzi kuendelea kuwa na ujinga ule ule wa miaka yote.
Hoja zako nzito ziko wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€

Msikilize vizuri Katibu Mkuu hapa ,Kwa SSH Kila goti litapigwa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/jspkCsDyjm0?si=eEJzQ-wJPcK-iyCF
 
Mbeya hakuna barabara za mtaa
 
Jamaa anaandika upuuzi wakati Barabara ya Airport mpaka Kayenze bado ni vumbi tu.Shida wanapewa script wanakuja kuimba humu wakati sisi wakazi wa Mwanza tunajua shida tunazopitia, Barabara za mitaa zote mbovu baada ya kuaribika na mvua za mwaka Jana na mpaka mwezi mei mwaka huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…