Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kaa kimya wewe mwehu,Mwanza ipi unayozungumzia,mimi naishi Ilemela miradi ya Barabara za mitaa chenga tu.
Muwe mnawaambia wawalete site muone kabla ya kuja kuimba upuuzi humu jamvini.
 
Wewe ndio mpuuzi pengine mpumbavu,wapi nimesema Barabara imekamilika? Hiyo Barabara si inaendelea na ujenzi au? Ni madarasa hayo kwamba ujenzi umeanza mwaka Jana itakamilika Leo? Tumia akili.
 
Kaa kimya wewe mwehu,Mwanza ipi unayozungumzia,mimi naishi Ilemela miradi ya Barabara za mitaa chenga tu.
Muwe mnawaambia wawalete site muone kabla ya kuja kuimba upuuzi humu jamvini.
Wapumbavu kama wewe ndio Huwa nawataka Sasa.

Hapa ni Ilemela au sio Ilemela? Hii Barabara ya Buswelu-Nyamhongolo mk 9.5 ipo Singida au? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAbV8aet574/?igsh=MXBlZm13MHU3dHVsdA==
Pili laumu Shujaa wenu aliyeacha kujenga Barabara za Mitaa akaweka mabilioni kwenye kivuko huko Kigongo na sio Samia ambae anajitahidi kuwatoa kwenye mavumbi yenu huko πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7ne-2Ioafb/?igsh=MWNwYXg1Z3BjeWdz
 
Sio airport-usagara wew nae waga muongo muongo mda mwingine. Kinachotia ukakasi ni miradi kusuasua lakin kama ikienda kwa speed bas ni jambo jema
 
Haya yote ilibidi yawe yamefanyika miaka ya 2000 uko ... Mwanza ,mbeya etc ni moja ya mikoa ambayo serikali aijaweka nguvu kabsa kama unavyo jaribu kupotosha tofauti na dar ,dodoma .Arusha ninge iweke kwenye kundi la Mwanza pia ila at least yenyewe ina pewa support na EAC
 
Sio kweli ,unavyoona miradi imemwagwa Mwanza ndivyo Samia amefanya pia Mbeya.

Na mwakani panapo majaaliwa Kilele Cha Mwenge ni Mbeya utaona Rais atakavyozindua miradi maana wamepanga hivyo makusudi kabisa Kwa maslahi ya Kisiasa.
 
JPM alimwaga 700 Billions plus! Kigongo busisi,Leo mnapiga kelele na miradi ya madarasa,eti amemwaga pesa saa100?
Kamradi kamoja ambako Nako alishindwa kukamalizia ila anafanya Samia?

Kwanza ni matumizi mabaya ya Rasilimali,Mji umejaa mavumbi Kila sehemu na Watoto wanakaaa chini unakenua meno pesa kuwekwa kwenye kivuko.
 
Kanda ya kati dodoma na singida wao hawana maneno wametulia na uvivu wao kila mwaka labda waanze kuwasapoti viongozi wao kwa nguvu kubwa maana wanabahati ya kupata mawaziri karibu kila awamu lakini deliverance ndio
Uvivu gani?
 
Aisee hongera sana
Najiuliza kina nani hao wema wanaozichunga hela zote hizo?
Kila la kheri, na tunaomba ikamilike na majengo yasimame hata 50 years
 
chadema alilegea ngome imeshachukuliwa jumla na CCM walivo wajanja hawataki utani na Kura za kanda ya ziwa na ziwa magharibi na ndio sababu hua tunasema Tanzania upinzani hakuna
Katika mazingira kama hayo kuilaumu Chadema ni kutoitendea haki.
Rais ambaye pia ndiye mgombea wa CCM anamwaga miradi ili avute kura za wananchi, sasa Chadema nao wanaweza kuwekeza kwenye ujenzi wa madaraja na barabara?
 

Wanalipa Kodi vizuri

Wanachangia pato la taia Kwa % kubwa

Wana Madini mengi na samaki wa kutosha

So walichokipata ni Haki Yao

Na Rais alichofanya ni jukumu lake kufanya

Ingekuwa ni story kama asingefanya anything
 
Ukweli ni kwamba wale watu wote wa jpm ambao Samia kawarudisha wamefanya siasa yake iwe nyepesi maeneo mengi ya Tanzania , alijaribu kua na watu wake lakini wengi wao alimuharibia kazi tu na kuvuruga bahati nzuri alishtuka mapema
Kama usemacho ni kweli basi angekubali tume huru ya uchaguzi, kinyume na hapo ni kama unapaka kinyago makeup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…