Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mpuuzi pengine mpumbavu,wapi nimesema Barabara imekamilika? Hiyo Barabara si inaendelea na ujenzi au? Ni madarasa hayo kwamba ujenzi umeanza mwaka Jana itakamilika Leo? Tumia akili.Jamaa anaandika upuuzi wakati Barabara ya Airport mpaka Kayenze bado ni vumbi tu.Shida wanapewa script wanakuja kuimba humu wakati sisi wakazi wa Mwanza tunajua shida tunazopitia, Barabara za mitaa zote mbovu baada ya kuaribika na mvua za mwaka Jana na mpaka mwezi mei mwaka huu!
Wapumbavu kama wewe ndio Huwa nawataka Sasa.Kaa kimya wewe mwehu,Mwanza ipi unayozungumzia,mimi naishi Ilemela miradi ya Barabara za mitaa chenga tu.
Muwe mnawaambia wawalete site muone kabla ya kuja kuimba upuuzi humu jamvini.
Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni.
Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni
a)Miradi ya Urithi kutoka awamu ya 5,iliyokamilika na inayoendelea.
b)Miradi Mipya iliyoanza awamu ya 6 iliyokamilika na inayoendelea.
c)Na miradi ambayo Iko Mbioni kuanza wakati wowote .
Ifuatavyo ni miradi ambayo inatekelezwa na Rais Samia Mkoani Mwanza Kwa Kila kundi.
(a)MIRADI MIPYA
1.Ujenzi wa Barabara za Lami Mitaani mradi wa TACTIC Mwanza CC na Ilemela MC km 32 eg Buhongwa-Igoma
2.Ujenzi wa Soko La Kirumba na Soko la Samaki Mkuyuni Bilioni 25.
3.Upanuzi wa Kampasi ya TIA Usagara-Mwanza ,Bilioni 8
4.Ujenzi wa Soko Kuu la Jiji la Mwanza
5.Ujenzi wa Hospitali ya Jiji gorofa 6
6.Ujenzi wa Majengo Mapya ya Gorofa Chuo Cha Ufundi na Maendeleo Misungwi.
7.Ujenzi wa Jengo jipya la Mwanza Airport na kukarabati wa uwanja kuwa wa Kimataifa
8.Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la TBA Ghana Kota gorofa 7
10.Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Ardhi Mwanza (Sengerema)
11.Ujenzi wa Barabara za Mitaani chini ya TARURA eg Kisesa-Bujora,kiyungi road nk
12.Ujenzi wa Vyumba vya madarasa na shule Mpya zikiwemo za gorofa eg Kisenga ,Igudija nk katika Wilaya zote.
13.Ujenzi wa Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya na ununuzi wa vifaa tiba Wilaya zote za Mwanza.
14.Mradi wa Maji Ukiriguru-Sumve Wilayani Misungwi Bilioni 32.
15.Ujenzi wa Barabara ya Hungumalwa-Ngudu-Magu
16.Ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Ukerewe
17.Upanuzi wa Bandari za Mwanza South sanjali na ujenzi wa vivuko vipya.
18.Ujenzi wa Chuo Cha Michezo Malya (Malya Sports Complex and Training Centre).Zaidi ya Bilioni 40.
19.Ujenzi wa Barabara ya Mabuki-Ngudu
20.Ujenzi wa Barabara ya Mwanza Airport -Kayenze-Nyanguge
21.Ujenzi wa Barabara ya Nansio-Rugezi
22.Ujenzi wa Barabara ya Mwanangwa-Misasi-Salawe-Kahama
23.Ujenzi wa Barabara ya Bukokwa-Nyakalilo
View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=fb9L7WED3YEdNVdb
(b)Miradi ya Urithi
1.Ujenzi wa daraja la JPM
2.Ujenzi wa Sgr ya Mwanza-Isaka
3.Ukamilishaji wa Stendi za Nyegezi na Nyamhongolo
4.Ukamilishaji wa mradi wa Maji Butimba
5.Ukamilishaji wa Jengo la OPD Sekou Toure gorofa 6
6.Ukarabati wa Meli kubwa ya MV Mwanza Hapa kazi tuu.
7.Ukamilishaji wa Chuo Cha Ufundi na Teknolojia DIT Mwanza Campus
8.Ukamiloshji wa Tawi la Chuo Cha Mipango Vijijini Mwanza Centre
View: https://youtu.be/n97F4rAuoPs?si=tmTMNkcjX_nX7z3r
(c)Miradi ambayo Iko Mbioni kuanza ni
-Upanuzi wa Barabara ya njia 4 kutoka Airport Hadi JPM bridge (lot 1 km 25).
-Ujenzi wa mgodi mkubwa wa Madini ya Dhahabu Nyanzaga
-Upanuzi wa Barabara kuu ya Musoma kuwa njia 4
View attachment 3127876
My Take
Hiyo ni Baadhi tuu ya miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Samia huko Mwanza.
Kiufupi Samia ameiheshimisha Mwanza kushinda Shujaa waliyedai Anapendelea Kwao.
Kazi Iendelee.
View: https://x.com/CharlieBihemo/status/1846480060984816083?t=OQdqPNWFk5jZ_tD8Yx_ZnA&s=19
Sio airport-usagara wew nae waga muongo muongo mda mwingine. Kinachotia ukakasi ni miradi kusuasua lakin kama ikienda kwa speed bas ni jambo jema
Sio kweli ,unavyoona miradi imemwagwa Mwanza ndivyo Samia amefanya pia Mbeya.Mbeya ilibeba hatma ya nyanda za juu kusini lakini ubishi umewatoa mchezoni serikali imebaki inaangalia kwenye maslahi kama Njombe , Ruvuma , Iringa , na mbeya kuendekeza siasa ndio imewafikisha hapo imebaki kidogo akina tulia wanapambana kivyao japo watu wa mbeya wabishi na hawana shukrani
Kamradi kamoja ambako Nako alishindwa kukamalizia ila anafanya Samia?JPM alimwaga 700 Billions plus! Kigongo busisi,Leo mnapiga kelele na miradi ya madarasa,eti amemwaga pesa saa100?
Wewe Mimi siko ccm Wala Serikalini na Wala hakuna aliyeniajiri and so Huwa sifanyi propaganda Bali facts.Inaonesha wazi upo kitengo cha propaganda, huwezi kumhadaa anayejielewa kwa data za uongo
Kawadanganye wengine wasio ijua mwanza!.
Uvivu gani?Kanda ya kati dodoma na singida wao hawana maneno wametulia na uvivu wao kila mwaka labda waanze kuwasapoti viongozi wao kwa nguvu kubwa maana wanabahati ya kupata mawaziri karibu kila awamu lakini deliverance ndio
Let's takwimu za kila kanda.30% ya Wapiga Kura wanatoka Kanda ya Ziwa
Inifwakti Kanda ya Ziwa ndio huchoose prezidenti 😂😂
Kwa nini anapendelea ikiwa yeye ni wa wote?amewapendelea
Katika mazingira kama hayo kuilaumu Chadema ni kutoitendea haki.chadema alilegea ngome imeshachukuliwa jumla na CCM walivo wajanja hawataki utani na Kura za kanda ya ziwa na ziwa magharibi na ndio sababu hua tunasema Tanzania upinzani hakuna
Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni.
Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni
a)Miradi ya Urithi kutoka awamu ya 5,iliyokamilika na inayoendelea.
b)Miradi Mipya iliyoanza awamu ya 6 iliyokamilika na inayoendelea.
c)Na miradi ambayo Iko Mbioni kuanza wakati wowote .
Ifuatavyo ni miradi ambayo inatekelezwa na Rais Samia Mkoani Mwanza Kwa Kila kundi.
(a)MIRADI MIPYA
1.Ujenzi wa Barabara za Lami Mitaani mradi wa TACTIC Mwanza CC na Ilemela MC km 32 eg Buhongwa-Igoma
2.Ujenzi wa Soko La Kirumba na Soko la Samaki Mkuyuni Bilioni 25.
3.Upanuzi wa Kampasi ya TIA Usagara-Mwanza ,Bilioni 8
4.Ujenzi wa Soko Kuu la Jiji la Mwanza
5.Ujenzi wa Hospitali ya Jiji gorofa 6
6.Ujenzi wa Majengo Mapya ya Gorofa Chuo Cha Ufundi na Maendeleo Misungwi.
7.Ujenzi wa Jengo jipya la Mwanza Airport na kukarabati wa uwanja kuwa wa Kimataifa
8.Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la TBA Ghana Kota gorofa 7
10.Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Ardhi Mwanza (Sengerema)
11.Ujenzi wa Barabara za Mitaani chini ya TARURA eg Kisesa-Bujora,kiyungi road nk
12.Ujenzi wa Vyumba vya madarasa na shule Mpya zikiwemo za gorofa eg Kisenga ,Igudija nk katika Wilaya zote.
13.Ujenzi wa Vituo vya Afya, Hospital za Wilaya na ununuzi wa vifaa tiba Wilaya zote za Mwanza.
14.Mradi wa Maji Ukiriguru-Sumve Wilayani Misungwi Bilioni 32.
15.Ujenzi wa Barabara ya Hungumalwa-Ngudu-Magu
16.Ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Ukerewe
17.Upanuzi wa Bandari za Mwanza South sanjali na ujenzi wa vivuko vipya.
18.Ujenzi wa Chuo Cha Michezo Malya (Malya Sports Complex and Training Centre).Zaidi ya Bilioni 40.
19.Ujenzi wa Barabara ya Mabuki-Ngudu
20.Ujenzi wa Barabara ya Mwanza Airport -Kayenze-Nyanguge
21.Ujenzi wa Barabara ya Nansio-Rugezi
22.Ujenzi wa Barabara ya Mwanangwa-Misasi-Salawe-Kahama
23.Ujenzi wa Barabara ya Bukokwa-Nyakalilo
View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=fb9L7WED3YEdNVdb
(b)Miradi ya Urithi
1.Ujenzi wa daraja la JPM
2.Ujenzi wa Sgr ya Mwanza-Isaka
3.Ukamilishaji wa Stendi za Nyegezi na Nyamhongolo
4.Ukamilishaji wa mradi wa Maji Butimba
5.Ukamilishaji wa Jengo la OPD Sekou Toure gorofa 6
6.Ukarabati wa Meli kubwa ya MV Mwanza Hapa kazi tuu.
7.Ukamilishaji wa Chuo Cha Ufundi na Teknolojia DIT Mwanza Campus
8.Ukamiloshji wa Tawi la Chuo Cha Mipango Vijijini Mwanza Centre
View: https://youtu.be/n97F4rAuoPs?si=tmTMNkcjX_nX7z3r
(c)Miradi ambayo Iko Mbioni kuanza ni
-Upanuzi wa Barabara ya njia 4 kutoka Mwanza CBD Hadi JPM bridge (lot 1 km 25),CBD-Usagara Jnct km 25.
-Ujenzi wa mgodi mkubwa wa Madini ya Dhahabu Nyanzaga
-Upanuzi wa Barabara kuu ya Musoma kuwa njia 4
View attachment 3127876
My Take
Hiyo ni Baadhi tuu ya miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Samia huko Mwanza.
Kiufupi Samia ameiheshimisha Mwanza kushinda Shujaa waliyedai Anapendelea Kwao.
Kazi Iendelee.
View: https://x.com/CharlieBihemo/status/1846480060984816083?t=OQdqPNWFk5jZ_tD8Yx_ZnA&s=19
Mbona mna kasoko kazuri sana, na stendi piaKumbe ndio sababu Wanasiasa hawakatiki huko 😂😂
Kwa hiyo sisi wa Njombe hatuna cheti? 🤣🤣
Kama usemacho ni kweli basi angekubali tume huru ya uchaguzi, kinyume na hapo ni kama unapaka kinyago makeup.Ukweli ni kwamba wale watu wote wa jpm ambao Samia kawarudisha wamefanya siasa yake iwe nyepesi maeneo mengi ya Tanzania , alijaribu kua na watu wake lakini wengi wao alimuharibia kazi tu na kuvuruga bahati nzuri alishtuka mapema
Hakuna mradi unaosuasua unless Mkandarasi ndio awe anasua sua 👇👇Sio airport-usagara wew nae waga muongo muongo mda mwingine. Kinachotia ukakasi ni miradi kusuasua lakin kama ikienda kwa speed bas ni jambo jema