Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wabongo wanasubiri afanye mambo kinyume na matamanio yao waanzishe uzi wa kuhoji uzanzibari wake!. Tuna akili za kipuuzi sana.

Kanifurahisha sana kufufua hicho chuo cha Malya cha michezo.
 
Wabongo wanasubiri afanye mambo kinyume na matamanio yao waanzishe uzi wa kuhoji uzanzibari wake!. Tuna akili za kipuuzi sana.

Kanifurahisha sana kufufua hicho chuo cha Malya cha michezo.
Imewakata.Nitaendelea kuwaonesha kazi nzuri ya Samia Kila Kona ya Nchi hii.
 
wasukuma
hawaongozwi
na mwanamke
Ni bahati mbaya unaropoka Kwa sababu wewe sio msukuma ila ungekuwa msukuma ungejua kwamba machifu wao ni wanawake na wamekuwa wanawaongiza.

Back kwenye topic,hiyo ya kuongozwa inahusianaje na Samia kumwaga miradi huko Mwanza?
 
eti mwanza imeachwa nyuma na Dodoma na arushaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chawa buana! kama kigezo ni airport kwani hizo airport za arusha na dodoma zinazidi nini ya mwanza?! mbona husemi mwanza ina stand mbili za mabasi za kisasa huku arusha kuna open space ndo wanaita standπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza Mko nyuma sana,hapa mshukuruni mama ameamua kuwahwshumisha
 
30% ya Wapiga Kura wanatoka Kanda ya Ziwa

Inifwakti Kanda ya Ziwa ndio huchoose prezidenti πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa ndugu wasemaji,ila akili za wengi zinawaambia huu ni msimu wa chaguzi,hivyo ni vyema kuamka mara kwa mara ili kuthibitisha kama kweli kumekucha ama tu ni ndoto za msimu wa chaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…