Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
kipo ibanda chawaKiko wapi Cha mtu binafsi na Cha Mwendazake? 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipo ibanda chawaKiko wapi Cha mtu binafsi na Cha Mwendazake? 😁😁
Hamna kitu yulekipo ibanda chawa
Acha kupayuka vitu usivyovijui.Mradi wa Malya Sport Complex mbona ushakamilka muda tu na training ground inatumika sana. Fanya research vizuri usikurupuke tu.
Kuna Vitu vingi umeorodhesha kama vipya wakati vilishapangiwa budget na mzee Magu kabla hajafariki na mingine ilikuwa ishaanza mfano barabara ya Hungumalwa- Ngudu.
Hater watapasuka bandama maana Mama Bado hajamaliza.Mkoa utoe azimio la kumpa kiwanja Samia, haiwezekani akistaafu akae mbali na Mwanza, akae hapo afaidi matunda ya kazi yake. Migiro Isamilo, Jk nyegezi, hawezi kosa watu wa kupiga naye stori
Hater watapasuka bandama maana Mama Bado hajamaliza.
Soma hiyooo 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DBvfrLWK05E/?igsh=MzhvMGRhdzV0a25u
Mradi ulikuwa umekamilika toka awamu ya 5 boya wewe. Labda mama yako anataka kuuongezea tu lakini usiseme mradi mpya boya.Acha kupayuka vitu usivyovijui.
Unafahamu hapo Kuna miradi mingapi?
Pia hiyo taarifa nimekuwekea hapo ni ziara ya Waziri juzi,wewe unaona hayo majengo na hizo structures zingine zimekamilika? Huoni Nondo zikipanda hapo?
Mwisho,tufanye umekamilika ni awamu ya 5 imejenga au awamu ya 6? Hata kwenye mada yangu nimeweka miradi iliyokamilika ndani ya awamu ya 6.
Wewe hater ndio boya unaongea empty words,weka ushahidi wa hicho unachosema kimekamilika.Mradi ulikuwa umekamilika toka awamu ya 5 boya wewe. Labda mama yako anataka kuuongezea tu lakini usiseme mradi mpya boya.
Ulipaswa tu umjibu kwa ufupi tu kwamba asome mada ndo aje ajibu, kimsingi miradi mingi inatekelezwa pia lingejengwa daraja la kisorya - ngoma lenye kama km 2 hivi lingeondoa usumbufu wa wakazi wa Ukerewe na lingesaidia sana ukuaji wa uchumi kwa watu wa maeneo hayo Na Tanzania kwa ujumlaWewe ni punguani na mpumbavu.
Soma mada ndio uje kuchangia sio kukurupuka kama kenge ameona mvua.
Nimebainisha utofauti hapo Juu ni wajibu wako kubisha Kwa facts sio unaropoka tuu.
Mikoa Mingi tuu hakuna hizo Barabara na kama zinajengwa basi ni za Samia mfano Tanga,Kilimanjaro,Songwe,Njombe na mingine Mingi tuu.
Noted, Serikali itafanyia kaziUlipaswa tu umjibu kwa ufupi tu kwamba asome mada ndo aje ajibu, kimsingi miradi mingi inatekelezwa pia lingejengwa daraja la kisorya - ngoma lenye kama km 2 hivi lingeondoa usumbufu wa wakazi wa Ukerewe na lingesaidia sana ukuaji wa uchumi kwa watu wa maeneo hayo Na Tanzania kwa ujumla
Hii ni mada ya kazi za Samia huko Mwanza,mambo ya wanamtaka au hawamtaki sio ajenda 👇👇Wasukuma hawamtaki aiwee wana resentments bado sana jamaa
Hii ni mada ya kazi za Samia huko Mwanza,mambo ya wanamtaka au hawamtaki sio ajenda 👇👇
View: https://youtu.be/yUm2n3RjUtM?si=6f7kGAJfw0eAVM0R
Propaganda ni uongo,hapo umeona Kuna uongo upi? Na Ili iwaje?Cheap propaganda
Yeye ndie anajaribu kuleta propaganda hapa...Propaganda ni uongo,hapo umeona Kuna uongo upi? Na Ili iwaje?
Huu utoto bakini nao huko kwenu...Wasukuma hawamtaki aiwee wana resentments bado sana jamaa
Kuna Baadhi ya wajinga na wenye chuki binafsi Wanateseka wakiona kazi hizi nzuri za Rais Samia huko Kanda ya Ziwa 👇👇Huu utoto bakini nao huko kwenu...
Hapo Mwanza kuna kila aina ya kabila unalolijua...
Hivyo itoshe kusema kuna watu wa Mwanza wanamkubali na wasiomkubali Samia....
Hayo mambo ya kuangalia ni kabila gani linamkubali au kumkataa mtu ni huko kwenu.