Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi.

Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe), WRM (Suguye), Elishaday Tv (Temboni) just few.
Kote huko ibada zimefanywa pamoja na maombi kwa amani na umoja wa Nchi na uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Kampeni za kuchochea machafuko na kuvuruga uchaguzi zinaendelea kupuuzwa na kukabiliwa na maombi.
 
Hivi uliacha kuimba Dataz ile nyimbo ya kuchukua mme wa mtu leo hupo kwenye siasa
IMG_1555.jpeg
 
Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi.

Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe), WRM (Suguye), Elishaday Tv (Temboni) just few.
Kote huko ibada zimefanywa pamoja na maombi kwa amani na umoja wa Nchi na uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Kampeni za kuchochea machafuko na kuvuruga uchaguzi zinaendelea kupuuzwa na kukabiliwa na maombi.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Are you kiding us?
 
Ni vema ibada zote zinazofanyika zisihusishe suala la uchaguzi wala mambo ya kisiasa maana kufanya hivo ni kuchanganya dini na siasa. Hata kuwasomea dua viongozi ni kuchanganya dini na siasa. Pia viongozi wa kisiasa wakienda msikitini au kanisani au kwenye mikusanyiko yoyote ya kidini wasipewe nafasi ya kuzungumza wawe kama waumini wengine wasikilize neno kisha warudi kwao.

Kufungia makanisa kwa kisingizio cha kuchanganya dini na siasa wakati wewe unachanganya siasa na dini ni uonevu mkubwa sana.
 
Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi.

Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe), WRM (Suguye), Elishaday Tv (Temboni) just few.
Kote huko ibada zimefanywa pamoja na maombi kwa amani na umoja wa Nchi na uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Kampeni za kuchochea machafuko na kuvuruga uchaguzi zinaendelea kupuuzwa na kukabiliwa na maombi.
Acha uongo huwezi fuatilia ibada zote na kujua mtizamo.
Nrne
 
Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi.

Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe), WRM (Suguye), Elishaday Tv (Temboni) just few.
Kote huko ibada zimefanywa pamoja na maombi kwa amani na umoja wa Nchi na uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Kampeni za kuchochea machafuko na kuvuruga uchaguzi zinaendelea kupuuzwa na kukabiliwa na maombi.
NRNE
 
Back
Top Bottom