GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Subiria uone leo ila kaa ukijua kuwa 'Hat Trick' moja au mbili na hata tatu atapiga leo dhidi ya Ihefu FC labda tu aamke vibaya au Mpira umkatae.Mbona DaPili alishindwa? Tena kwa mkapa.
Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa magoli machache sana.Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League...
Hata Mitatu Mkuu.Mayele utashangaa akaondoka na mipira miwili leo,
Yuko motoo sio kawaida Ihefu wajiandae,Hata Mitatu Mkuu.
HahahahaWewe una wodi maalum mirembe?
Mbona unaandika kama taahira, wewe sio simba mwenzetu.
Yaani Kocha mwenye DNA zote za Mapenzi na kuwa mwana Yanga SC lia lia Juma Mwambusi aifunge Yanga SC leo?Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa...
Una Kicheko kizuri cha Demu aliye kwenye Joto lake la Kibaiolojia ili Mkuyenge ( Mkurudungu ) ufanye Kazi yake Kwake.Hahahaha
Mi ni Yanga lakini timu ndogo huwa zinakaza sana, utashangaa wanashinda goli 1Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC...
Uko sahih Sana [emoji38] mayele lzm ateteme na kupewa mipira yakeHuenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League...
Simba ndio wanafanywagwa hvyo yanga atampiga tatu bilaMi ni Yanga lakini timu ndogo huwa zinakaza sn, utashangaa wanashinda goli 1
Hapana tusiseme hivyo mpira unachezwa dak 90 hakuna timu yenye uhakika kwa kushinda kila siku, tusubiri dak 90Simba ndio wanafanywagwa hvyo yanga atampiga tatu bila
Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa magoli machache sana. Hadi sasa amefungwa goli 16 tofauti na hata timu zilizoko juu kwenye msimamo wa ligi kama Mtibwa au Prison ambazo zimepigwa goli 23/18 mtawalia.
So IHEFU ina Backline nzuri na huenda pia mwalimu wao ana mbinu nzuri za kujilinda.
Lkn kwakuwa moyo wa Timu umeshikiliwa na Pro-Yanga ndugu yao PAPY SHISHIMBI KABAMBA na Mwambusi lolote linaweza tokea kama yale ya Singida Big Star chini ya Pluijm
Hao wakifunguka sawa, Ila wakipaki itakuwa ngumu.Subiria uone leo ila kaa ukijua kuwa 'Hat Trick' moja au mbili na hata tatu atapiga leo dhidi ya Ihefu FC labda tu aamke vibaya au Mpira umkatae.
Idiot.Dada Genta acha kushabikia Wananchi wewe ni kolo pro max tunajua.
Kwa kunisifia (kunikongole) Kwako huku tegemea Kuambiwa Wewe ni GENTAMYCINE na hii ID yako ni yangu pia.Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.