Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League.

Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na Usununu) mno kwani kwa jinsi Mayele alivyo wa Moto (kwenye Fomu) yake sasa iwe isiwe leo atafunga peke yake ama Goli 3 au 6 au hata 9 Mguuni mwake.

TFF waandae Mipira mingi sana leo!!!
 
Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League...
Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa magoli machache sana.

Hadi sasa amefungwa goli 16 tofauti na hata timu zilizoko juu kwenye msimamo wa ligi kama Mtibwa au Prison ambazo zimepigwa goli 23/18 mtawalia.

So IHEFU ina Backline nzuri na huenda pia mwalimu wao ana mbinu nzuri za kujilinda.

Lkn kwakuwa moyo wa Timu umeshikiliwa na Pro-Yanga ndugu yao PAPY SHISHIMBI KABAMBA na Mwambusi lolote linaweza tokea kama yale ya Singida Big Star chini ya Pluijm
 
Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa...
Yaani Kocha mwenye DNA zote za Mapenzi na kuwa mwana Yanga SC lia lia Juma Mwambusi aifunge Yanga SC leo?

Tegemeeni Karamu ya Magoli tu leo.
 
Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League...
Uko sahih Sana [emoji38] mayele lzm ateteme na kupewa mipira yake
 
Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa magoli machache sana. Hadi sasa amefungwa goli 16 tofauti na hata timu zilizoko juu kwenye msimamo wa ligi kama Mtibwa au Prison ambazo zimepigwa goli 23/18 mtawalia.
So IHEFU ina Backline nzuri na huenda pia mwalimu wao ana mbinu nzuri za kujilinda.
Lkn kwakuwa moyo wa Timu umeshikiliwa na Pro-Yanga ndugu yao PAPY SHISHIMBI KABAMBA na Mwambusi lolote linaweza tokea kama yale ya Singida Big Star chini ya Pluijm
Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.
 
Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.
Kwa kunisifia (kunikongole) Kwako huku tegemea Kuambiwa Wewe ni GENTAMYCINE na hii ID yako ni yangu pia.

Nafurahi Kukubalika na Werevu (Geniuses) Wachache kama Wewe hapa JamiiForums kuliko Kutukanwa huko na Wapumbavu (Fools) wengi walioko.

Ubarikiwe Mkuu.
 
Back
Top Bottom