GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League.
Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na Usununu) mno kwani kwa jinsi Mayele alivyo wa Moto (kwenye Fomu) yake sasa iwe isiwe leo atafunga peke yake ama Goli 3 au 6 au hata 9 Mguuni mwake.
TFF waandae Mipira mingi sana leo!!!