Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

Ihefu sio wepesi hivyo wanashida ya kufunga ila beki wanayo japo Yanga itashida
 
Reactions: BRN
Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.
Anavyoandika nyuzi za Yanga kutumia uchawi na pia kuwa honga wachezaji na makocha na marefa ili washinde mechi mbona haumpongezagi? Huyo ni shabiki mnafiki hajawahi kuwa na msimamo. Kuna nyuzi nyingi tu humu zikiituhumu Yanga kwa kuhonga. Sasa tuamini kipi je Yanga ni bora? Au Yanga inatumia bahasha?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 

Shida inakuja kocha mwambusi,[emoji23]
 
Amini tu kuwa Wewe ni damn Fool Ok?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38] lamli imegoma kama kawaida!
 
Muheshimiwa Genta nakuheshimu sana kama member wa muda mrefu humu na ambae michango yako imeitoa forum kutoka hatua moja kwenda nyingine bora, ila pia nakuheshimu kama jasusi mbobezi ambae mchango wako wa kijasusi umeiepusha nchi na majanga mbalimbali ambayo yangetusumbua kama taifa. Ila naomba mambo ya Yanga uyaache na usiiongelee tena hii timu. Shughulika na makolo wenzio. Yanga ina kamati yake ya ufundi inayojitosheleza hatuhitaji ramli zako tena. Ole wako nione tena unaitabiria chochote Yanga, nakuonya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…