Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSimba ndio wanafanywagwa hvyo yanga atampiga tatu bila
Anavyoandika nyuzi za Yanga kutumia uchawi na pia kuwa honga wachezaji na makocha na marefa ili washinde mechi mbona haumpongezagi? Huyo ni shabiki mnafiki hajawahi kuwa na msimamo. Kuna nyuzi nyingi tu humu zikiituhumu Yanga kwa kuhonga. Sasa tuamini kipi je Yanga ni bora? Au Yanga inatumia bahasha?Kutokubali ubora wa mpinzani wako ni Aina Fulani ya ugonjwa. Genta atabaki kuwa miongoni mwa mashabiki Bora hata kama baadhi yenu mnamtukana.
Haitokuwa hivyo Genta takwimu zinakataa. Ihefu pamoja na kuwa mwisho mwa msimamo ea Ligi ni miongoni mwa timu zilizofungwa magoli machache sana. Hadi sasa amefungwa goli 16 tofauti na hata timu zilizoko juu kwenye msimamo wa ligi kama Mtibwa au Prison ambazo zimepigwa goli 23/18 mtawalia.
So IHEFU ina Backline nzuri na huenda pia mwalimu wao ana mbinu nzuri za kujilinda.
Lkn kwakuwa moyo wa Timu umeshikiliwa na Pro-Yanga ndugu yao PAPY SHISHIMBI KABAMBA na Mwambusi lolote linaweza tokea kama yale ya Singida Big Star chini ya Pluijm
Napigia mstari hapa naenda kwenye kamusi ya mtaaniMkurudungu
Amini tu kuwa Wewe ni damn Fool Ok?Anavyoandika nyuzi za Yanga kutumia uchawi na pia kuwa honga wachezaji na makocha na marefa ili washinde mechi mbona haumpongezagi? Huyo ni shabiki mnafiki hajawahi kuwa na msimamo. Kuna nyuzi nyingi tu humu zikiituhumu Yanga kwa kuhonga. Sasa tuamini kipi je Yanga ni bora? Au Yanga inatumia bahasha?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Yaani Kocha mwenye DNA zote za Mapenzi na kuwa mwana Yanga SC lia lia Juma Mwambusi aifunge Yanga SC leo?
Tegemeeni Karamu ya Magoli tu leo.
Ukhali gani huko na mwiko wako wa 49Mbona DaPili alishindwa? Tena kwa mkapa.
Tumempokea kama alivyoNgada FC mwenzenu huyo.
Uliambiwa ukawa mbishiSimba ndio wanafanywagwa hvyo yanga atampiga tatu bila
Salama tu , njoo uukalie kama vipi.Ukhali gani huko na mwiko wako wa 49
Kwqmba ihefu kazi yao ndogo unataka na simba?Salama tu , njoo uukalie kama vipi.
Ameondoka na gunia za Mchele mbiliMayele utashangaa akaondoka na mipira miwili leo,
Haya ndio matapeli ya mjini yanaibia vijana kwa uganga fake[emoji38][emoji38][emoji38] lamli imegoma kama kawaida!