Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Kabla ya huu utangulizi niambie sera ya chadema kuhusiana na kupambana na kuzuia rushwa. Maana haya yote unayosema na mengine yatafanikiwa endapo mfumo wa kupambana na rushwa na ufisadi utakuwa imara vinginevyo hata uje na sera nzuri vipi usipombana na rushwa na ufisadi ni kazi bure! Ndio maana nchi nyingi duniani zilizoendelea hawa-entertain rushwa maana wanajua madhara yake kwa uchumi wa nchi zao na huduma kwa jamii.
 
Mkuu hawa mataahira yasikusumbue akili yanashinda jamii forums wakiaminishana ujinga na upumbavu, yameshaweka akili pembeni yanaendeshwa na mihemuko. Ukiingia JF kama upeo wako upo chini waweza kufikiri Lissu kashatangazwa kuwa Raisi wa nchi hii. Baada ya October 28 watakuja na story ya tume sio huru na blah blah kibao. Nakuhakikishia wala hakuna atakayethubutu kuingia barabarani ni mikwara tu. Na wakipata wabunge 10 washukuru Mungu.
 
Mbona hakuna jipya hapo.

Ni nini kimekuhadaa wewe?
 
Ni kuwa, sheria itafuatwa kwenye suala la Rushwa. Hakutakuwa na doubled standard kwenye Rushwa. Vyombo vinavyoshughulikia Rushwa vitawekwa huru from political influence kama ilivyo sasa. Hawatapokea maagizo kutoka iwe kwa Raisi au mtu yeyote nchini.

Sheria ya PCCB itarekebishwa kuwafanya kuwa Chumbo huru. Mkurugenzi wake atateuliwa na Raisi na kuidhinishwa na Bunge na Raisi hatoweza kumfukuza kazi mpaka ridhaa ya bunge!
 
Mwaka huu October 2020 , CCM ndo mtakuja na Sera za kuibiwa kura. Wakati utasema ndugu
 
Unamlisha matango pori lissu au we we ndiye lissu!?
 
Una upeo gani wewe.

Unaofikiria upande mmoja. Na shule hio ya chadema
Huwezi kujifananisha na mimi vyovyote kiupeo ndugu. Uthibitisho wake ni wewe ku support CCM. Hakuna Mwenye akili iliyo sawa anaei support CCM.
 
Huwezi kukutana is hana mimi vyovyote kiupeo ndugu. Uthibitisho wake ni wewe ku support CCM. Hakuna Mwenye akili iliyo sawa anaei support CCM.
Sawa, kama kuwa unasupport upinzani ndio akili.
Hapo sina neno, na umenizidi sana tu.
 
Nadhabi ndio sababu Chadema hawakutaka ushirikiano na ACT. Kuna ka harufu ka CCM kugawa kura za wapinzani

Mimi naona CCM watagawana kura na ACT. Unajuwa ACT base yao ni Zanzibar ambapo wana kura kama laki 3 tu, ukijumlisha na za original ACT kura 400,000. Ujio wa Membe utaleta kura Mil 2 za ziada kati ya hizo Mil 1.2 kutoka CCM na laki 8 wafuasi wapya. Kwa ujumla ACT wana mtaji wa kura Mil2.7

Kura za Chadema 2015 zilikuwa Mil6 roughly, Lowasa ataondoka na kura Mil1.5 lakini Lissu atakujja na kura Mil5 za ziada kutoka kwa wanafunzi, graduates, wastaafu, wafanya biashara na civil servants. Kura za CDM kwa ujumla zitakuwa Mil9.5.

CCM wata gain about kura Mil2 lakini watapoteza kura Mil 4. Kwa ujumla CCM wtapata kura Mil 6.5.

Wapiga kura wote watakuwa kama Mil 20 hivi.

Utaona kuwa CCM ndio watakaogawana kura na ACT. Sioni mfuasi wa CDM kumpigia kura ACT au CCM lakini wa CCM atampigia ACT kumfata Membe na CDM pia atachukuwa kura za CCM. Kura za ACT zitabaki kama ACT na chache zitaenda kwa CDM na mainly kutokea Zanzibar kwa utetezi wa Lissu kwa masheikh na structure ya Muungano.
 
Mwaka huu October 2020 , CCM ndo mtakuja na Sera za kuibiwa kura. Wakati utasema ndugu
Mkuu mtu akifatilia post zako JF either anakuona umechanganyikiwa au una shida kubwa kisaikolojia unahitaji matibabu. Kuna wakati nahisi wewe ni Lissu mwenyewe. Nimesema hivyo kwasababu hauweki possibility tofauti kwenye matokeo.

Ukimuuliza mshabiki wa soka mfano Simba Vs Yanga ukamuuliza mshabiki wa Simba vipi mechi itakuwaje?, Mshabiki mwenye akili na upeo atakwambia tumejiandaa vizuri kushinda mechi,tuna wachezaji wazuri kuchukua point 3 Ila mpira unadunda dk 90.

Ukimuuliza mwenye akili ndogo na fupi Kama zako, atakwambia tayari tumeshashinda Yanga wakabidhi kombe tu. Unaongelea Lissu kukabidhiwa Ikulu as if ni kukabidhiwa uraisi wa UDSM au TLS, achana na uraisi wa Jamhuri ya muungano.

Mkuu nisikufiche watu hawakwambii ukweli Ila wanakuona Kama mwendawazimu hivi. Nina uhakika hata CHADEMA wenzako baadhi wanakuona Kama mtu aliyechanganyikiwa. Confidence zikizidi ukaacha kuongea uhalisia unaonekana CHIZI au ZEZETA.
 
Amani iwe nanyi wadau!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”...
chadema chama cha kisasa sana tafadhali chadema mfumo mliokuja nao wa kunadi sera zenu ni mbinu ya kisasa kabisa fanya macchapisho ya kutosha kama vipeperushi na tatoa pongezi kuanzia mwenyekiti wenu na kambi nzima kwa ubunifu kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…