Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #201
Tulia tu. Kwani Magufuli alivyokuwa akiharibu uchumi alikuwa hajui Kuna watu wenye sera mbadala zitakazokubaliwa na watanzania??Hawa jamaa sijui wana waza namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia tu. Kwani Magufuli alivyokuwa akiharibu uchumi alikuwa hajui Kuna watu wenye sera mbadala zitakazokubaliwa na watanzania??Hawa jamaa sijui wana waza namna gani
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hivyo vyote ni mali ya ccm. Kwa nini watanzania reasoning yetu inakua ndogo sana??Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Pole mkuu, kama hupendi unatakiwa upande mpaka juu ubadili mfumo. Si kazi nyepesi, kulia lia hakusaidii pia. Kuhusu reasoning ya watanzania jibu ni wanaccm ni watanzania pia.Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hivyo vyote ni mali ya ccm. Kwa nini watanzania reasoning yetu inakua ndogo sana??
Childish nonsenseSasa kula kulala wewe utajuaje hali ya uchumi wa watu? we endelea kulishwa na shemeji yako tu hapo mpaka uzeeke
Wait and see!!Childish nonsense
Anapokopi za zamani ni dhahiri kwamba hawezi kuzitimiza kwa sababu Kama waliomtangalia wameonekana kushindwa kuleta suluhu la kudumu basi hata Lissu hawezi kuleta suluhu la kudumuWewe unataka hoja mpya, au hoja zenye manufaa kwa taifa?
Sawanjaa imeleta akili ,endelea kukariri
Hamna mjadala hapo....... Tena atapata kura nyingi zaidi za wanaccm maana wanamchukia jiwe kuliko watz wengine woteNaunga mkono hoja mia kwa mia Lisu nilazima tumuingize ikulu mwaka huu.