Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hivyo vyote ni mali ya ccm. Kwa nini watanzania reasoning yetu inakua ndogo sana??
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hivyo vyote ni mali ya ccm. Kwa nini watanzania reasoning yetu inakua ndogo sana??
Pole mkuu, kama hupendi unatakiwa upande mpaka juu ubadili mfumo. Si kazi nyepesi, kulia lia hakusaidii pia. Kuhusu reasoning ya watanzania jibu ni wanaccm ni watanzania pia.
 
Wewe unataka hoja mpya, au hoja zenye manufaa kwa taifa?
Anapokopi za zamani ni dhahiri kwamba hawezi kuzitimiza kwa sababu Kama waliomtangalia wameonekana kushindwa kuleta suluhu la kudumu basi hata Lissu hawezi kuleta suluhu la kudumu
 
Naunga mkono hoja mia kwa mia Lisu nilazima tumuingize ikulu mwaka huu.
Hamna mjadala hapo....... Tena atapata kura nyingi zaidi za wanaccm maana wanamchukia jiwe kuliko watz wengine wote
 
Back
Top Bottom