Kwa ivo sasa tunaweza kuanza kulinganisha nani kafika mara nyingi robo fainali?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.

Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.

Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
 
Yanga last season ilivyoamka ikatua fainaili shirikisho ambapo wewe simba uliishia robo. Mwaka huu yanga pia alikuwa anaenda fainali CAF ambapo wewe simba standard yako ni robo..kwahiyo Yanga isilinganishwe na makolokwinyo
 
Kweli malipo ni hapa hapa duniani
 
Wazee wa kujifariji na kujitafutizia furaha hao. Kichaka cha Robo fainali kimefyekwa sasa mnarukaruka, kujichekesha na kujiongelesha humu JF.
 
Yanga last season ilivyoamka ikatua fainaili shirikisho ambapo wewe simba uliishia robo. Mwaka huu yanga pia alikuwa anaenda fainali CAF ambapo wewe simba standard yako ni robo..kwahiyo Yanga isilinganishwe na makolokwinyo
Yanga mwaka huu imekwenda nusu fainali!!??

Kwani Simba haijawahi kufika fainali ya mashindano ya CAF??

Unaposema "Yanga ilipoamka" unamaanisha nini. Na wakati Yanga wamelala Simba walikuwa wanafanya Nini??
 
Hayo maswali yako yote nimeshayajibu kwenye msg yangu uliyoi quote. Alafu soma vizuri nilichoandika kabla hujakurupuka
 
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.

Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.

Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
Nani mwakarobo[emoji38][emoji38]
 
Yanga last season ilivyoamka ikatua fainaili shirikisho ambapo wewe simba uliishia robo. Mwaka huu yanga pia alikuwa anaenda fainali CAF ambapo wewe simba standard yako ni robo..kwahiyo Yanga isilinganishwe na makolokwinyo

Aah, unaharibu Sasa. Huyu hazungumzii Shirikisho...! Kinachozungumzwa hapa ni CL ya CAF..!
Usichanganye Mada.!
 
Back
Top Bottom