Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kweli malipo ni hapa hapa dunianiWaliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.
Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.
Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
Kati ya Simba na Yanga ipi imefika mara nyingi zaidi robo fainali ya mashindano yote ya CAF??Wazee wa kujifariji na kujitafutizia furaha hao. Kichaka cha Robo fainali kimefyekwa sasa mnarukaruka, kujichekesha na kujiongelesha humu JF.
Yanga mwaka huu imekwenda nusu fainali!!??Yanga last season ilivyoamka ikatua fainaili shirikisho ambapo wewe simba uliishia robo. Mwaka huu yanga pia alikuwa anaenda fainali CAF ambapo wewe simba standard yako ni robo..kwahiyo Yanga isilinganishwe na makolokwinyo
Yanga mwaka huu imekwenda nusu fainali!!??
Kwani Simba haijawahi kufika fainali ya mashindano ya CAF??
Unaposema "Yanga ilipoamka" unamaanisha nini. Na wakati Yanga wamelala Simba walikuwa wanafanya Nini??
Nani mwakarobo[emoji38][emoji38]Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika.
Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo fainali za mashindano yote ya CAF.
Asitokee mtu akasema kufika robo fainali ni hatua ndogo.
Wamejibanza Kona ya mtaa Wa Twiga na mawe yao mikononi wanavizia nani atokee wamrushie!!Mwakarobo mpya waje watoe maoni.
Kama alikurupuka refa itakuwa mimi!!?Hayo maswali yako yote nimeshayajibu kwenye msg yangu uliyoi quote. Alafu soma vizuri nilichoandika kabla hujakurupuka
Yanga last season ilivyoamka ikatua fainaili shirikisho ambapo wewe simba uliishia robo. Mwaka huu yanga pia alikuwa anaenda fainali CAF ambapo wewe simba standard yako ni robo..kwahiyo Yanga isilinganishwe na makolokwinyo
Ndugu mbumbumbu nenda kamsome Tena, inawezekana viwango uelewa vya mbumbumbu vinalinganaAah, unaharibu Sasa. Huyu hazungumzii Shirikisho...! Kinachozungumzwa hapa ni CL ya CAF..!
Usichanganye Mada.!
Hii ndio point iliyopo sasa shikiria hii....Kati ya Simba na Yanga ipi imefika mara nyingi zaidi robo fainali ya mashindano yote ya CAF??
Rage apewe maua yakeNdugu mbumbumbu nenda kamsome Tena, inawezekana viwango uelewa vya mbumbumbu vinalingana
5imba inaitwaje baba wakati ilipoanzishwa illitwa Queens?Yanga imefika mara moja kwa mujibu wa cuf,alafu Baba yake Simba sc amefika kwa mara sita sasa.