Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme.

Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa wa vyombo vya habari kuajiri waandishi wenye weledi na akili. Hawa wapuuzi wanaojificha kwenye neno ubunifu ni upumbavu na mzigo kwa Taifa.

View attachment 2912967
Clip wameihujumu haichezi
 
Watanzania wanataka umeme... Dotto Biteko.
Futa Takataka hii hakuna cha kujadili.
 
Back
Top Bottom