JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Kumbuka kuwa anakofia mbili.Ametumia mkutano wa kiserikali kufanya kampen
Nani alikutuma ukimbie mchakato wa katiba mpya pale bungeni?Mpuuzi ni wewe usiyejua kwamba kampeni hazitakiwi kwenye shughuli za kiserikali.
Kumbuka kuwa anakofia mbili.
CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba kura.
Balance ya fairness iko wapi, hawa wenzake kina Lissu wanawekewa barrier kila Kona. Hawatakiwi hata kutembelea mashina yao na kudhibitiwa kila wakionekana kujumuika katika shughuli either kiuchumi au kijamii. Ni Lini katika kipindi chote viongozi wa nje ndio wawe wanatuwekea jiwe la msingi kwenye miradi yetu? Na kwa Nini atumie nafasi hiyo kuwaombea kura wagombea wake na yeye kujiombea kura.
Wito kwa NEC, kwa kuwa huyu anayo advantage hiyo Basi wengine nao mazingira yawaruhusu m
HujitambuiCCM kupitia mgombea wake wa urais Sas..na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba kura...
Acha uzuzu wewe!Upuuzi mtupu kudhani shughuli za kiserikali zina ukomo kipindi cha kampeni.
NEC ni hovyo sana na maafisa wote wa NEC ni wa kutia kitanzi.CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba kura.
Balance ya fairness iko wapi, hawa wenzake kina Lissu wanawekewa barrier kila Kona. Hawatakiwi hata kutembelea mashina yao na kudhibitiwa kila wakionekana kujumuika katika shughuli either kiuchumi au kijamii. Ni Lini katika kipindi chote viongozi wa nje ndio wawe wanatuwekea jiwe la msingi kwenye miradi yetu? Na kwa Nini atumie nafasi hiyo kuwaombea kura wagombea wake na yeye kujiombea kura.
Wito kwa NEC, kwa kuwa huyu anayo advantage hiyo Basi wengine nao mazingira yawaruhusu kutumia fursa itakayojitokeza.
That's why tunataka Tume Huru ya NEC ya CCM imchukulie Hatua Magifuli! Tunajua Lissu tu KAZUIWA kwenda kutembelea matawi ya Chama kwa madai anafanya Kampeni....!!!Swali ni Je, leo JPM alikuwa na ratiba ya kampeni Kibamba?
Kama hakuwa na ratiba hiyo then why ameomba kura akiwa kwenye eneo ambalo kiratiba za NEC hakupaswa kuwa hapo?
Mwaka huu ICC inawasubiri! Hawachomoki...!!!NEC ni hovyo sana na maafisa wote wa NEC ni wa kutia kitanzi.
HahahAcha uzuzu wewe!
Hakuna anayelalsmika kuhusu shughuli za kiserikali hapa! HOJA NI KWA NINI MGOMBEA WA CCM ANATUMIA ZIARA YA UGENI WA MARAIS TOKA NJE KUJIPIGIA KAMPENI KINYUME CHA SHERIA YA UCHAGUZI!!!
Alichofanya Magufuli pale ni Matumizi mabaya ya Madaraka, Matumizi mabaya ya Raslimali za Serikali! Pale kaenda na magari ya Serikali siyo ya CCM. Upo??
Siku zote mnakaa kimya ila ikifikia kipindi cha uchaguzi ndio mnajua umuhimu wa TUME HURU?That's why tunataka Tume Huru ya NEC ya CCM imchukulie Hatua Magifuli! Tunajua Lissu tu KAZUIWA kwenda kutembelea matawi ya Chama kwa madai anafanya Kampeni....!!!
Huu ndo ujinga wa "Double Standards" tunaotakiwa kuukemea na kuulaaniwa kwa nguvu zote!!
Hahah
Zuzu wewe uliyekimbia mchakato wa katiba mpya pale bungeni halafu unajifanya hujui kwamba vyeo vyake bado anavyo hadi sasa mbali ya kuwa mgombea, pia ni rais, Amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama, mwenyekiti wa chama tawala, na vile vile anateua na kutengua.
Umeona uzuzu wako wa kukimbia vitu muhimu kipindi cha bunge la katiba?
Tusingekimbia bunge la katiba mpya nahisi mngepata mwarubaini wa hili jambo.Nguvu nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na ujibu Hoja yoyote
Tusingekimbia bunge la katiba mpya nahisi mngepata mwarubaini wa hili jambo.