kauga Jafar
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 230
- 123
Ili iweje mkuuKwanini usimtamkie jina halisi la kipindi!
Komedy kivip! Mfano leo kulikuwa na Komedy gn!?Ili iweje mkuu
Generally we call it as a comedy
Kwani nani kamzuia?
Kwani kuna katiba inayomzuia mtu kuvaa mlegezo?Sasa kama mnajua hajazuiliwa na yoyote hadi na Katiba mnachohangaika nae hadi kumjadili ni nini? Mbona hamueleweki nyie Wapumbavu? Kwahiyo sasa hivi unapingana na hao Members wenzako ambao katika Uzi huu huu wametumia muda wao mwingi kumdhihaki Mheshimiwa Rais na Kipindi cha SHILAWADU?
Halafu kabla sijasahau tafadhali naomba unipe tofauti kati ya Kuandika Easy ulivyoandika Wewe na Kuandika Essay. Nisaidie hasa Mimi ambaye sijasoma kama Wewe halafu hata ' Ung'eng'e ' haupandi vile vile. Natamani sana pia niweze kumjua Mwalimu wako wa Kiingereza na Communications Skills huko kote ulikopita Kielimu / Kitaaluma.
Anaitwa Vicent Kigosi sio Ray Kigosi
Tangu akiitwa Vicent KigosiJina lililozoeleka na linalotumika maeneo mengi ni la ' Ray ' hilo la Vicent labda Wazazi wake ndiyo hulitumia. Umenza lini labda kumfuatilia au kumfahamu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hamna mkuu daa mie wangu kwanza kumsimlia mambo yasio muhusu anakwambia huna ya kwako chukua laptop sikiliza hata mziki, niliwahi kuta mkaka anasutwa na wadada, nikamuita wewe vipi ndiyo kumtoa pale kisa alisema yasio muhusuIlikutokea nn
ID za wanaume wewe zina kutekenya wapi ili nikukune?
Maana kila mda zinakuwasha sema tu kama zinakuwasha huko nyuma ukunwe!
Mkuu kumbe huwa unatazama SHILAWADU?
Nilidhani unatazama FNL
Kwani kuna katiba inayomzuia mtu kuvaa mlegezo?
Mbona tunapinga japo kuwa haipo kikatiba?
Umbea hata vitabu vitakatifu vinasema ni dhambi kwanini unautetea?
Tangu akiitwa Vicent Kigosi
Akiri=Akili.Bongo movies hawana akiri
Typing error tu iyo dada yangu nakushangaa unavyo complicate kuhusu hilo kwani nikitaka ku edit nashindwa?Mbona unakwepa kunipa ufafanuzi na utofauti wa haya maneno hili lako la Easy ulilotumia na lile linalojulikana na Intellectuals wengi la Essay? Vipi wale ' Wapuuzi ' wenzio waliokupa ' Likes ' zao na kukujaza upepo hawawezi Kukusaidia ' Mpuuzi ' mwenzao Wewe katika hili? au labda akili zenu wote zinafanana zenye IQ kati ya 1 point hadi 3 points?
Great Thinker anaangalia shilawadu, napata mashaka kidogo..