Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Kwani nani kamzuia?

Sasa kama mnajua hajazuiliwa na yoyote hadi na Katiba mnachohangaika nae hadi kumjadili ni nini? Mbona hamueleweki nyie? Kwahiyo sasa hivi unapingana na hao Members wenzako ambao katika Uzi huu huu wametumia muda wao mwingi kumdhihaki Mheshimiwa Rais na Kipindi cha SHILAWADU?

Halafu kabla sijasahau tafadhali naomba unipe tofauti kati ya Kuandika Easy ulivyoandika Wewe na Kuandika Essay. Nisaidie hasa Mimi ambaye sijasoma kama Wewe halafu hata ' Ung'eng'e ' haupandi vile vile. Natamani sana pia niweze kumjua Mwalimu wako wa Kiingereza na Communications Skills huko kote ulikopita Kielimu / Kitaaluma.
 
Sasa kama mnajua hajazuiliwa na yoyote hadi na Katiba mnachohangaika nae hadi kumjadili ni nini? Mbona hamueleweki nyie Wapumbavu? Kwahiyo sasa hivi unapingana na hao Members wenzako ambao katika Uzi huu huu wametumia muda wao mwingi kumdhihaki Mheshimiwa Rais na Kipindi cha SHILAWADU?

Halafu kabla sijasahau tafadhali naomba unipe tofauti kati ya Kuandika Easy ulivyoandika Wewe na Kuandika Essay. Nisaidie hasa Mimi ambaye sijasoma kama Wewe halafu hata ' Ung'eng'e ' haupandi vile vile. Natamani sana pia niweze kumjua Mwalimu wako wa Kiingereza na Communications Skills huko kote ulikopita Kielimu / Kitaaluma.
Kwani kuna katiba inayomzuia mtu kuvaa mlegezo?

Mbona tunapinga japo kuwa haipo kikatiba?

Umbea hata vitabu vitakatifu vinasema ni dhambi kwanini unautetea?
 
Anaitwa Vicent Kigosi sio Ray Kigosi

Jina lililozoeleka na linalotumika maeneo mengi ni la ' Ray ' hilo la Vicent labda Wazazi wake ndiyo hulitumia. Umenza lini labda kumfuatilia au kumfahamu?
 
Wacha Ray aendelee kunywa maji awe kama mzungu! Tatizo wanachotaka sasa sio uzungu tu, ila pochi! Kuna bahati kwa Bw. Ray, yaonekana shahawa zake bomba, zazalisha watoto murua, tusubiri tuone..
 
Ilikutokea nn
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hamna mkuu daa mie wangu kwanza kumsimlia mambo yasio muhusu anakwambia huna ya kwako chukua laptop sikiliza hata mziki, niliwahi kuta mkaka anasutwa na wadada, nikamuita wewe vipi ndiyo kumtoa pale kisa alisema yasio muhusu
 
ID za wanaume wewe zina kutekenya wapi ili nikukune?

Maana kila mda zinakuwasha sema tu kama zinakuwasha huko nyuma ukunwe!

Kabla ya yote turudi tena hapo hivi ulivyoandika neno Easy badala ya Essay ulidhani Members wote humu JF ni Wapumbavu / Mapopoma kama Wewe au? Yaani GENTAMYCINE amekuchanganya hadi umekosea kuandika vizuri kwa Kiingereza hadi ukaishia ' Kuchapia ' tu? Kweli ninatisha. Akhsante Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu kumbe huwa unatazama SHILAWADU?

Nilidhani unatazama FNL

Huwa navichanganya vyote Mkuu. Si unajua tena Mimi ni ' all rounder Person? ' hivyo nahakikisha matukio mengi au vitu vingi vyenye PI ( Public Interest ) havinipiti yawe / viwe ni vya ndani hapa au vya nje ya mipaka yetu. Napenda mno kuwa informed 24/7 Mkuu.
 
Kwani kuna katiba inayomzuia mtu kuvaa mlegezo?

Mbona tunapinga japo kuwa haipo kikatiba?

Umbea hata vitabu vitakatifu vinasema ni dhambi kwanini unautetea?

Mbona unakwepa kunipa ufafanuzi na utofauti wa haya maneno hili lako la Easy ulilotumia na lile linalojulikana na Intellectuals wengi la Essay? Vipi wale ' Wapuuzi ' wenzio waliokupa ' Likes ' zao na kukujaza upepo hawawezi Kukusaidia ' Mpuuzi ' mwenzao Wewe katika hili? au labda akili zenu wote zinafanana zenye IQ kati ya 1 point hadi 3 points?
 
Tangu akiitwa Vicent Kigosi

Usitafute na Wewe ' nikakudharau ' tafadhali sawa? Nimekuambia kuwa uko sahihi kuwa anaitwa hilo jina na usidhani labda nilikuwa sijui bali nimetumia jina lake la Ray ambalo ndilo ' Brand Name ' yake kwa Mashabiki na Watanzania wengi wa ndani na nje ya mipaka. Napenda sana Watu wenye kuelewa haraka na siyo tu kutaka kubishana ' Kipuuzi ' sawa?
 
Mbona unakwepa kunipa ufafanuzi na utofauti wa haya maneno hili lako la Easy ulilotumia na lile linalojulikana na Intellectuals wengi la Essay? Vipi wale ' Wapuuzi ' wenzio waliokupa ' Likes ' zao na kukujaza upepo hawawezi Kukusaidia ' Mpuuzi ' mwenzao Wewe katika hili? au labda akili zenu wote zinafanana zenye IQ kati ya 1 point hadi 3 points?
Typing error tu iyo dada yangu nakushangaa unavyo complicate kuhusu hilo kwani nikitaka ku edit nashindwa?
 
Great Thinker anaangalia shilawadu, napata mashaka kidogo..

Ila Great Thinker huyo huyo angekuwa anaangalia jinsi ' unavyokanyagwa / unavyotinduliwa ' Kibaiolojia wala usingepata mashaka. Sipati shaka hata kidogo!
 
Ukiona unaanzisha uzi hapa Jf kisha maoni unayoyapokea yanakua nje ya mada basi tambua reputation uliyoijenga kwa muda mrefu imeshakwisha/imeanza kupotea ...HILI HALIPINGIKI NA HUU NI MSIMAMO WANGU NINAOUAMINI.
 
Back
Top Bottom