Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo.
Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa.
Ukiwa mume mkeo ushamuona mzigo tayari, utafanya nini uachanane nane ikiwa hajafanya uzinzi na ukapa ushahidi? Kumbuka huwezi kubadilisha kama nguo, au mboga.
Kama uliangalia uzuri wa nje bila tabia na ujuzi hujafeli hapo?