Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
NOMA SANA MKUU...utazubua sana ila haiwezekani kila wakati ukawaza jambo ilo ilo... Kwenye mengine sasa ndio mnaanza kuona mna mitazamo tofauti na itikadi tofauti na malezi tofauti mapendezi tofauti. Hatari