Uwe na kibunda Cha kutoa huduma sio unakigenge chako Cha machungwa au kimshahara chako Cha million na lakitano harafu unaoa wake watatuOa wake watatu, utaishi kama mfalme, maana wanakuwa wanashindana kupata favor zako
Vichwa ngumu umelazimishwa kuoa kichwa ngumu!?Hujakutana na vichwa vigumu ww.
Vijana mna safari ndefu na ngumu kuzidi. Hivi kwa mwanaume rijali ,timamu, shababi ukishindwa kumudu kuishi na mke utaweza nini zaidi ya ulalamishi?
Timiza majukumu yako
Uwe na kibunda Cha kutoa huduma sio unakigenge chako Cha machungwa au kimshahara chako Cha million na lakitano harafu unaoa wake watatu
Utawaweza malaika wa humu, hawajui kuwa ndoa ni kuchukuliana na sio judge anaVijana mna safari ndefu na ngumu kuzidi. Hivi kwa mwanaume rijali ,timamu, shababi ukishindwa kumudu kuishi na mke utaweza nini zaidi ya ulalamishi?
Timiza majukumu yako
Kwa hiyo unataka kusemaje labda? Kwamba unafikiri Babu zako waliyavuka hayo yote kiwepesi tu!!!!?Vizazi vimebadilika mkuu, tatizo naona wazee wetu wanasisitiza vijana tuishi katika misingi mizuri lakini kwa bahati mbaya uhalisia wa uchumi karne hii ya 21 muongo wa pili (2) unapambana vita na misingi hiyo
Pesa ya kitanzania mnamo miaka ya 1990 mpaka 2000 ilikuwa ina thamani mara 5 mpaka 10 ya pesa hiyo hiyo kwa mwaka huu 2024; yaani ukute 1M ya 2000 ukija nayo 2024 ni 5M
Sasa kwa uhalisia wa uchumi uliochanganuliwa hapo juu mjue kwamba kilichobadilika katika relationship ya Mwanamke na mwanaume ni thamani ya pesa ya mwanaume tu, pesa haina thamani sahizi na ujira kwa asilimia kubwa ya watanzania haujapanda kokote kwa msingi kwa miongo. Mwanaume alipe kodi (anategemewa ajenge pia), ahakikishe mle wote ndani ya hilo jengo lake, alipe ada za watoto, awe na akiba au akope mkiumwa, akununulie pedi mpaka wigi, akulipulie hela ukasuguliwe miguu kutoa magamba miguuni, akuwekee pesa kwenye kikoba ambacho hata kikitema hapati chochote na zaidi ya hapo anakufanyia haya yote wakati wewe sahizi ni kizazi cha feminism na una kazi
Tatizo wakikaa kwenye vijiwe vya kahawa wanadanganyana na kujazana ujinga. Hakuna binadamu mkamilifu na sidhani kama atatokea. Ni suala la commitment na kutimiza wajibu kwa kila mmoja.Utawaweza malaika wa humu, hawajui kuwa ndoa ni kuchukuliana na sio judge ana