THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,
Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.
Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao?
Jiulize tu leo kuna shindano mtu anaenda kwa Ranks za CAF ndio linaitwa shindano kubwa Afrika na lenye thaman hivi jiulize tu itokeee FIFA waseme World Cup Team ziende kwa FIFA Ranking unahisi Afrika tutapeleka team ngapi?
Jiulize hivi leo inatokea Team A ambayo ipo juu kwenye Ranks za CAF ukanda flani ina maliza kwenye Ligi ya 4 halaf kuna Team C imepanda league currently ni mpya ila imeweka investment ya kutosha imemaliza nafasi 3 za juu kwa Ligi na remember haina historia yoyote kule CAF, kwahio hii Team ya nafasi ya 3 haitoenda popote maana unakuta Caf champions League anaenda yule wa 2 halaf hapohapo hii ya nafasi ya 4 itaenda super League?
Nachanganyikiwa kabisa na hii Afrika!!
Au sijaelewa maana wanaangalia points!!
Naomba mtu asitumie lugha ya kunikebehi au kunidhalilisha kama unanielewesha unieleweshe taratibu nipo tayar kuelewesha na wale ambao hawajaelewa kama mimi nao wataelewa.
Nielewavyo mimi Mpira ni mchezo wa kushangaza ndio Mpira huo...ukifanya Makosa una shangazwa, na Team iliyokua inachukuliwa ya kawaida ina take over.
Jiulize Team kama FAR RABAT,AZAM,PYRAMID,FUTURE Zitapata lini hio nafasi?
Wydad amepigwa juzi ikawa Rasmi hatoshiriki kombe lolote Msimu unaokuja kesho yake inakuja taarfa kuna kombe hilo ndilo Baba Lao na Taarfa inasema Kombe litahusisha Team zenye Points nyingi Kwenye ranks za CAF.
KUNA MCHEZO HAPA UMECHEZWA.
Halaf nawaza hata itokee Azam abebe Kombe Bongo ila ni Simba na Yanga ndio zitakua na Chance ya kwenda AFL na Azam ataenda Champions League?? au kule Morocco ni Wydad ndie ana chance zaidi ya FAR RABAT kucheza AFL!!
AFRIKA! AFRIKA!
Tulia nirudi kulala!
Soma pia👇
www.jamiiforums.com

CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...