Kwa Jicho la kimpira kuifuta Confederation Cup, CAF wamepuyanga, Motsepe unaharibu soka la Afrika

Kwa Jicho la kimpira kuifuta Confederation Cup, CAF wamepuyanga, Motsepe unaharibu soka la Afrika

Sijaona official report yoyote ya kufutwa confederation mpaka sasa, nimeingia website ya CAF hakuna kitu kama hicho
 
Kwa kuzingatia maoni yako mtoa mada, ili uweze kuwa katika hizo nafasi za juu katika caf ranking unatakiwa ufanye nini?, Ukipata jibu hutakuwa tena na wasiwasi wa michuano ya AFL kwa kuzingatia hoja zako lakini.
Mkuu kuna mada hapo nime attach pia mtu anaweza soma nimesoma mi bado sijaelewa maana Team iwe imeshiriki hayo mashindano ya CAF.

Na tunajua kwenye kila team ikishiriki kila hatua hua ina vuna points.

Sa swali langu je zile Team zimepanda saiv ligi mfano ilivokuaga Leicester kule EPL ndio iwe Bongo ipande ibebe unaambiwa hio haiend kule AFL maana haina points kule so itatakiwa iende champions league iwe inakusanya kule points ina maana gani sasa hio mkuu?
Yan Man united amalize wa 7 na chesii then waahiriki UEFA?
 
Kinachokuuma Simba hata asiposhika nafasi ya pili atashiriki ligi kubwa na yenye pesa afrika
Leta hoja tunataka mawazo kwenye hili for the betterment of our future.

Mtaachaga Lini haya mawazo nyie?
 
Nimeandika kuuliza na nimejenga hoja ila unaleta maswala ya Simba na Yanga..

ccm iendelee kutawala tu kumbe.

Kama unaona huna hoja usi reply pita kimya kimya.

Bora nipate wachangiaji wa 3 ila wanipe mawazo ya kueleweka.
Hahahahaha jamaa nimemshangaa..ndio maana huwa nasemaga mbumbumbu wapo na umbumbumbu upo
 
Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,

Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.

Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao?

Jiulize tu leo kuna shindano mtu anaenda kwa Ranks za CAF ndio linaitwa shindano kubwa Afrika na lenye thaman hivi jiulize tu itokeee FIFA waseme World Cup Team ziende kwa FIFA Ranking unahisi Afrika tutapeleka team ngapi?

Jiulize hivi leo inatokea Team A ambayo ipo juu kwenye Ranks za CAF ukanda flani ina maliza kwenye Ligi ya 4 halaf kuna Team C imepanda league currently ni mpya ila imeweka investment ya kutosha imemaliza nafasi 3 za juu kwa Ligi na remember haina historia yoyote kule CAF, kwahio hii Team ya nafasi ya 3 haitoenda popote maana unakuta Caf champions League anaenda yule wa 2 halaf hapohapo hii ya nafasi ya 4 itaenda super League?

Nachanganyikiwa kabisa na hii Afrika!!

Au sijaelewa maana wanaangalia points!!

Naomba mtu asitumie lugha ya kunikebehi au kunidhalilisha kama unanielewesha unieleweshe taratibu nipo tayar kuelewesha na wale ambao hawajaelewa kama mimi nao wataelewa.

Nielewavyo mimi Mpira ni mchezo wa kushangaza ndio Mpira huo...ukifanya Makosa una shangazwa, na Team iliyokua inachukuliwa ya kawaida ina take over.

Jiulize Team kama FAR RABAT,AZAM,PYRAMID,FUTURE Zitapata lini hio nafasi?

Wydad amepigwa juzi ikawa Rasmi hatoshiriki kombe lolote Msimu unaokuja kesho yake inakuja taarfa kuna kombe hilo ndilo Baba Lao na Taarfa inasema Kombe litahusisha Team zenye Points nyingi Kwenye ranks za CAF.

KUNA MCHEZO HAPA UMECHEZWA.

Halaf nawaza hata itokee Azam abebe Kombe Bongo ila ni Simba na Yanga ndio zitakua na Chance ya kwenda AFL na Azam ataenda Champions League?? au kule Morocco ni Wydad ndie ana chance zaidi ya FAR RABAT kucheza AFL!!

AFRIKA! AFRIKA!

Tulia nirudi kulala!

Soma pia👇

Wangeyaacha hayo Mashindano Kwa Ajili ya timu zinazochipukia.
 
Mwishon Umetoa swali gumu sana!!
😁😁😁
Unyumbu ni tabia ya watu tunao wapa dhamana kuahirisha kufikiri kwasababu ya kujipendekeza, kutumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi ama kuogopa viongozi wao, herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, group objectives and fear of their leaders
 
Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,

Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.

Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao?

Jiulize tu leo kuna shindano mtu anaenda kwa Ranks za CAF ndio linaitwa shindano kubwa Afrika na lenye thaman hivi jiulize tu itokeee FIFA waseme World Cup Team ziende kwa FIFA Ranking unahisi Afrika tutapeleka team ngapi?

Jiulize hivi leo inatokea Team A ambayo ipo juu kwenye Ranks za CAF ukanda flani ina maliza kwenye Ligi ya 4 halaf kuna Team C imepanda league currently ni mpya ila imeweka investment ya kutosha imemaliza nafasi 3 za juu kwa Ligi na remember haina historia yoyote kule CAF, kwahio hii Team ya nafasi ya 3 haitoenda popote maana unakuta Caf champions League anaenda yule wa 2 halaf hapohapo hii ya nafasi ya 4 itaenda super League?

Nachanganyikiwa kabisa na hii Afrika!!

Au sijaelewa maana wanaangalia points!!

Naomba mtu asitumie lugha ya kunikebehi au kunidhalilisha kama unanielewesha unieleweshe taratibu nipo tayar kuelewesha na wale ambao hawajaelewa kama mimi nao wataelewa.

Nielewavyo mimi Mpira ni mchezo wa kushangaza ndio Mpira huo...ukifanya Makosa una shangazwa, na Team iliyokua inachukuliwa ya kawaida ina take over.

Jiulize Team kama FAR RABAT,AZAM,PYRAMID,FUTURE Zitapata lini hio nafasi?

Wydad amepigwa juzi ikawa Rasmi hatoshiriki kombe lolote Msimu unaokuja kesho yake inakuja taarfa kuna kombe hilo ndilo Baba Lao na Taarfa inasema Kombe litahusisha Team zenye Points nyingi Kwenye ranks za CAF.

KUNA MCHEZO HAPA UMECHEZWA.

Halaf nawaza hata itokee Azam abebe Kombe Bongo ila ni Simba na Yanga ndio zitakua na Chance ya kwenda AFL na Azam ataenda Champions League?? au kule Morocco ni Wydad ndie ana chance zaidi ya FAR RABAT kucheza AFL!!

AFRIKA! AFRIKA!

Tulia nirudi kulala!

Soma pia[emoji116]

Mkuu mbona mdau kaelezea vizuri Sana kwenye ule Uzi....

Mi ntajitahidi kukuelezea kadri nilivoelewa Kwa Mtindo wa maswali na majibu...

1. Je, ni kigezo gani kitatumika Kwa Timu kushiriki AFl?
Timu zutakazoshiriki AFL ni zile zilizofanya vizuri kwenye michuano ya CAF yaani Shirikisho na klabu bingwa... Na kua na point nyingi Kwa kalenda ya miaka mitano... Lakini hii itazingatia na ukanda husika. Yaani kila ukanda utatoa idadi kadhaa ya washiriki.

2. Je, timu moja itashiriki AFL na CAF champions League Kwa wakati mmoja ..?
Hapana, timu zile ambazo zitashiriki AFL moja Kwa moja zitakuwa zimepoteza sifa ya kushiriki michuano ya klabu bingwa.

3. Je, bingwa wa ligi kuu ya nchi husika atashiriki AFL au champions League?
Hapa itategemeana na bingwa mwenyewe Kule kwenye CAF ranking ana point ngapi? Kama tulivoona kigezo cha kushiriki AFL ni kua na point nyingi kwenye ukanda wako... Sasa ikitokea timu ngeni CAF ikabeba kombe la ligi Kwa mfano hapa bongo Azam FC.. moja Kwa moja atashiriki kwenye michuano ya klabu bingwa na sio AFL... Hadi pale atakpojikusanyia point za kutosha kushiriki AFL

4. Je, champions league itakosa mvuto?
Hapana, Bali itaongeza mvuto Kwa sababu hii ndo itakua daraja la kushiriki AFL hivo timu zitajitahidi kupambana ili zikusanye point za kupata tiketi ya kushiriki AFL...

5. Kwanini kombe la Shirikisho lifutwe?
Obviously timu zile giants zilizokua zinatunishiana misuli kwenye kombe la CAF champions League zitakuwa zipo AFL mfano Ahly, Mamelodi, Mazembe na Esparence hivo zile timu za Shirikisho ndo zitakua zinashiriki Champions League hivo automatically kombe la Shirikisho litakua halina maana tena japo CAF wangeweza kuliboresha Kwa kuwapa nafasi wale wanaochukua kombe la FA kushiriki Shirikisho.

6. Je, huko AFL Napo timu zitakua zinajikusanyia point???
SIJUI
 
Back
Top Bottom