kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kinachokuuma Simba hata asiposhika nafasi ya pili atashiriki ligi kubwa na yenye pesa afrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna mada hapo nime attach pia mtu anaweza soma nimesoma mi bado sijaelewa maana Team iwe imeshiriki hayo mashindano ya CAF.Kwa kuzingatia maoni yako mtoa mada, ili uweze kuwa katika hizo nafasi za juu katika caf ranking unatakiwa ufanye nini?, Ukipata jibu hutakuwa tena na wasiwasi wa michuano ya AFL kwa kuzingatia hoja zako lakini.
Leta hoja tunataka mawazo kwenye hili for the betterment of our future.Kinachokuuma Simba hata asiposhika nafasi ya pili atashiriki ligi kubwa na yenye pesa afrika
GOOD✍️Ulaya mashabiki waliandamana, point yao ilikua moja tu,kua League za ndani zinaenda Kufa.
ni lete hoja na bandiko lako nimalalamiko matupu ,au ndo kujifunza kuandika habari za michezoLeta hoja tunataka mawazo kwenye hili for the betterment of our future.
Mtaachaga Lini haya mawazo nyie?
Kumbe Kwa tamaduni za huko kwenu Mtu alie na malalamiko au kero hastahili kujibiwa!!ni lete hoja na bandiko lako nimalalamiko matupu ,au ndo kujifunza kuandika habari za michezo
Hahahahaha jamaa nimemshangaa..ndio maana huwa nasemaga mbumbumbu wapo na umbumbumbu upoNimeandika kuuliza na nimejenga hoja ila unaleta maswala ya Simba na Yanga..
ccm iendelee kutawala tu kumbe.
Kama unaona huna hoja usi reply pita kimya kimya.
Bora nipate wachangiaji wa 3 ila wanipe mawazo ya kueleweka.
Akina Yanga mashindano yao ni Champions League tena quarter finalist, na next time ni semi finalistTunajua hili ndo shindano lenu akina Yanga ila msilalamike sana.... sijui mtafanyaje sasa.
Wangeyaacha hayo Mashindano Kwa Ajili ya timu zinazochipukia.Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,
Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.
Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao?
Jiulize tu leo kuna shindano mtu anaenda kwa Ranks za CAF ndio linaitwa shindano kubwa Afrika na lenye thaman hivi jiulize tu itokeee FIFA waseme World Cup Team ziende kwa FIFA Ranking unahisi Afrika tutapeleka team ngapi?
Jiulize hivi leo inatokea Team A ambayo ipo juu kwenye Ranks za CAF ukanda flani ina maliza kwenye Ligi ya 4 halaf kuna Team C imepanda league currently ni mpya ila imeweka investment ya kutosha imemaliza nafasi 3 za juu kwa Ligi na remember haina historia yoyote kule CAF, kwahio hii Team ya nafasi ya 3 haitoenda popote maana unakuta Caf champions League anaenda yule wa 2 halaf hapohapo hii ya nafasi ya 4 itaenda super League?
Nachanganyikiwa kabisa na hii Afrika!!
Au sijaelewa maana wanaangalia points!!
Naomba mtu asitumie lugha ya kunikebehi au kunidhalilisha kama unanielewesha unieleweshe taratibu nipo tayar kuelewesha na wale ambao hawajaelewa kama mimi nao wataelewa.
Nielewavyo mimi Mpira ni mchezo wa kushangaza ndio Mpira huo...ukifanya Makosa una shangazwa, na Team iliyokua inachukuliwa ya kawaida ina take over.
Jiulize Team kama FAR RABAT,AZAM,PYRAMID,FUTURE Zitapata lini hio nafasi?
Wydad amepigwa juzi ikawa Rasmi hatoshiriki kombe lolote Msimu unaokuja kesho yake inakuja taarfa kuna kombe hilo ndilo Baba Lao na Taarfa inasema Kombe litahusisha Team zenye Points nyingi Kwenye ranks za CAF.
KUNA MCHEZO HAPA UMECHEZWA.
Halaf nawaza hata itokee Azam abebe Kombe Bongo ila ni Simba na Yanga ndio zitakua na Chance ya kwenda AFL na Azam ataenda Champions League?? au kule Morocco ni Wydad ndie ana chance zaidi ya FAR RABAT kucheza AFL!!
AFRIKA! AFRIKA!
Tulia nirudi kulala!
Soma pia👇
CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF. Zone 1) North Africa Zone 2) West / Central Africa Zone 3) South / East Africa Kwa sheria...www.jamiiforums.com
Kiongozi nilikua na shauku kujua ulicho uliza ila kwa majibu haya...ndio maana nasemaga humu kwanza kuna watanzania ni wajinga wa kutupwa ,pia kuna umbumbumbuKumbe Kwa tamaduni za huko kwenu Mtu alie na malalamiko au kero hastahili kujibiwa!!
ASUBUHI NJEMA MTAALAMU!.
Jikite kwenye hoja acha upumbavuTunajua hili ndo shindano lenu akina Yanga ila msilalamike sana.... sijui mtafanyaje sasa.
Endelea kubet.Jikite kwenye hoja acha upumbavu
Mawazo yenu hayakinzani na CCM ndo maana wote mnavaa kijani na njanoAkina Yanga mashindano yao ni Champions League tena quarter finalist, na next time ni semi finalist
Unyumbu ni tabia ya watu tunao wapa dhamana kuahirisha kufikiri kwasababu ya kujipendekeza, kutumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi ama kuogopa viongozi wao, herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, group objectives and fear of their leadersMwishon Umetoa swali gumu sana!!
😁😁😁
Mkuu mbona mdau kaelezea vizuri Sana kwenye ule Uzi....Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,
Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.
Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao?
Jiulize tu leo kuna shindano mtu anaenda kwa Ranks za CAF ndio linaitwa shindano kubwa Afrika na lenye thaman hivi jiulize tu itokeee FIFA waseme World Cup Team ziende kwa FIFA Ranking unahisi Afrika tutapeleka team ngapi?
Jiulize hivi leo inatokea Team A ambayo ipo juu kwenye Ranks za CAF ukanda flani ina maliza kwenye Ligi ya 4 halaf kuna Team C imepanda league currently ni mpya ila imeweka investment ya kutosha imemaliza nafasi 3 za juu kwa Ligi na remember haina historia yoyote kule CAF, kwahio hii Team ya nafasi ya 3 haitoenda popote maana unakuta Caf champions League anaenda yule wa 2 halaf hapohapo hii ya nafasi ya 4 itaenda super League?
Nachanganyikiwa kabisa na hii Afrika!!
Au sijaelewa maana wanaangalia points!!
Naomba mtu asitumie lugha ya kunikebehi au kunidhalilisha kama unanielewesha unieleweshe taratibu nipo tayar kuelewesha na wale ambao hawajaelewa kama mimi nao wataelewa.
Nielewavyo mimi Mpira ni mchezo wa kushangaza ndio Mpira huo...ukifanya Makosa una shangazwa, na Team iliyokua inachukuliwa ya kawaida ina take over.
Jiulize Team kama FAR RABAT,AZAM,PYRAMID,FUTURE Zitapata lini hio nafasi?
Wydad amepigwa juzi ikawa Rasmi hatoshiriki kombe lolote Msimu unaokuja kesho yake inakuja taarfa kuna kombe hilo ndilo Baba Lao na Taarfa inasema Kombe litahusisha Team zenye Points nyingi Kwenye ranks za CAF.
KUNA MCHEZO HAPA UMECHEZWA.
Halaf nawaza hata itokee Azam abebe Kombe Bongo ila ni Simba na Yanga ndio zitakua na Chance ya kwenda AFL na Azam ataenda Champions League?? au kule Morocco ni Wydad ndie ana chance zaidi ya FAR RABAT kucheza AFL!!
AFRIKA! AFRIKA!
Tulia nirudi kulala!
Soma pia[emoji116]