Kwa Jicho la kimpira kuifuta Confederation Cup, CAF wamepuyanga, Motsepe unaharibu soka la Afrika

Ngoja hapa na mm nitie neno,kwa mfano young African no bingwa NBC pl na kwenye rank ni nambari 11 atashiriki shindano lipi kati ya Hays mawili??? AFL au CAFCL? Au atashiriki yote kwa pamoja
Atashiriki AFL na ndivyo itakavyokuwa kwa Yanga na Simba msimu ujao.
AFL ndio itakuwa michuano ya hadhi ya juu kuliko CAFCL yaani CAFCL inashushwa hadhi inakuwa ilivyokuwa tu shirikisho.
Sheria hairuhusu kushiriki michuano yote miwili bali kama umefuzu AFL unapaswa kucheza AFL ila kama hujafuzu AFL ila msimamo wa ligi kuu unakubeba kucheza CAFCL basi utashiriki CAFCL
 
Yanga ni timu kubwa itashiriki tu
 
naona shauku ya Motspe ni kuifanya hii ligi iwe ya kuvutia kupitia hawa wakubwa waliokuwa dominant ila pia je hawatatumia new records?sababu miaka 5 nazani ya hesabu za points imeshapita..au bdao?
Klabu bingwa ya Afrika itakuwa kaama ndondo Cup tu, kuna timu ndogo tu zitakuja kuchukua komba la klabu bingwa hata mara 5 wakati timu kubwa kama Simba na Yanga zitakuwa hazijawahi sababu hazitashiriki tena klabu bingwa
 
Nadhani haiko fair

Kuna team Africa zishapoteza ubora kama hizo Wydad, Simba,na Kaizer ambazo zinapewa upendeleo kisa historia tulitaka tuone team imara na tishio kwa sasa kama FAR Rabat, Pyramid, Yanga n.k
Zina uimara gan hizo yanga na pyramids? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Klabu bingwa ya Afrika itakuwa kaama ndondo Cup tu, kuna timu ndogo tu zitakuja kuchukua komba la klabu bingwa hata mara 5 wakati timu kubwa kama Simba na Yanga zitakuwa hazijawahi sababu hazitashiriki tena klabu bingwa
SASA nimeelewa Kwa nini Samuel Etoo anapigwa vita mpaka na CAF.

Kumbe solution ya haya mashirikisho NI kuongozwa na wachezaji Mpira wenyewe siyo wavaa suti wasiojuwa hata kupiga danadana.
 
Ni wazo la hovyo sana, timu nyingi zinaenda kukosa mashindano ya mechi za kimataifa

Wenzetu ulaya waliboresha wakaongeza michuano kutika miwili mpaka mitatu


UEFA Champions League

UEFA Europa League

UEFA Europa Conference League
 
Facts tupu hizo.
 
Huu ni ujinga wa wazi.

Timu zinapaswa ziingie kwa qualification inayoonekana kila msimu.

Sio sahihi kuweka mashindano yenye utaratibu wa kushiriki wa mualiko tu. Halafu useme ni ranking ya miaka mitano iliyopita.

Timu mpya zitakuwa zinaonewa.

Mfano enyimba msimu wake wa kwanza kwanza tu kushiriki Caf champions league mwaka 2003 ndio msimu huo huo akaenda kutwaa kombe la Caf champions league.

Ingekuwa format ya ranking wanazozileta Caf kwenye AFL maana yake timu kama enyimba hazitapata nafasi tena... maana ranking ya miaka mitano ilikuwa haimjui enyimba kabisa. Ila bado akawa bingwa wa kombe kubwa africa
 
Mpira sasa ni biashara sio burudani tena! Watu wanaweka pesa wakitaka pesa irudi! Unafikili ukipeleka namungo yako, sijui Azam,sijui utopolo! Zinajulikana wapi mpaka zivuti mashabiki!
 
Mpira sasa ni biashara sio burudani tena! Watu wanaweka pesa wakitaka pesa irudi! Unafikili ukipeleka namungo yako, sijui Azam,sijui utopolo! Zinajulikana wapi mpaka zivuti mashabiki!
Wewe ni zwazwa wakutupwa. Umeandika kiushabiki halafu kumbe hujui kama Yanga itakuwa ni miongoni mwa timu zitakazoshiriki hiyo AFL
 
Mkuu sisi Afrika hua sielewi hawa watu ambao hua wanatuongoza kwenye sekta mbalimbali sijui hua wanatumia nini kufikira
 
Kwanini kusiwe na mashindano yote matatu kwa wakati mmoja yani super league, Champions league na Confideration Cup.
Nini kinazuia yote kufanyika kwa pamoja.
 
Kwanini kusiwe na mashindano yote matatu kwa wakati mmoja yani super league, Champions league na Confideration Cup.
Nini kinazuia yote kufanyika kwa pamoja.
Raisi wa CAF amesema tatizo hakuna pesa za kuendesha mashindano yote matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…