Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mfano wa alichosaida mbona una akili ndogo sanaKama anasaidia watu lazima watu wampende tu.ametatua changamoto nyingi sana za wananchi.Mama kachukia kupendwa makonda kaamua kumficha kwenye eneo dogo.kwa uzalendo aliounyesha makonda kunauwezekano siku akawa rais
MAKONDA NI MAARUFU TOKA ANAZALIWA, alishakua maarufu kabla na baada, means ni umaarufu wake Upo damuni,Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi.
Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni kwamba vigogo wa CCM na mtu yeyote mwenye upeo mkubwa walishaona Makonda anajijenga yeye kwa kupitia mwavuli wa katibu mwenezi sababu ghafla mijini na vijijini jina lake ndo linaimbwa kuliko la ccm kwenye siasa hii ni hatari kubwa sana
MAKONDA NI MAARUFU TOKA ANAZALIWA
Makonda alikuwa hajengi chama kama wengi walivyokuwa wanadhani bali, na kama angeendelea vile hata samia angempita kwa umaarufu na ingekua ni kazi ngumu tena kumzibiti Rais amefanyia kazi ushauri wa watu waliochukizwa tokea mwanzo alipomteua kuwa mwenezi wa ccm
Kuna kashfa ya kumtisha Salah ambayo hakuna aliyethibitisha bali ukweli kwamba mbwa mzee huwezi mfundisha sheria same kwa makonda hawezi acha tabia zake za majivuno, visasi, matumizi makubwa na bila huruma ya fedha za umma (extravagant), kuonea na kutishia watu hizo zipo damuni
Ameaminiwa kwa kushushwa cheo?Acha uzushi wako hapa wewe. Alikuwa anajijengeje? Nani katika Taifa letu naye alikuwa hamfahamu Mheshimiwa Makonda na namna anavyo chapa kazi na kuwa karibu na wananchi? Mheshimiwa Makonda amefanya kazi kama alivyopewa na sasa ameaminiwa na kupewa imani na Mheshimiwa Rais ya kwenda kumsaidia mkoani Arusha kama mkuu wa Mkoa yaani Rais wa Mkoa.
Huyo ni chawa hilo hawezi lijuaAmeaminiwa kwa kushushwa cheo?
Sawa na kusema WEO kaaminiwa kwenda kua VEO Kijiji fulani hapa TANZANIA
Ukisikia jina la Makonda tu kiantena kinakusimama.Acha uzushi wako hapa wewe. Alikuwa anajijengeje? Nani katika Taifa letu naye alikuwa hamfahamu Mheshimiwa Makonda na namna anavyo chapa kazi na kuwa karibu na wananchi? Mheshimiwa Makonda amefanya kazi kama alivyopewa na sasa ameaminiwa na kupewa imani na Mheshimiwa Rais ya kwenda kumsaidia mkoani Arusha kama mkuu wa Mkoa yaani Rais wa Mkoa.
A very serious mistake amefanya ... kujaribu kumu outside boss wakeVery correct, kama ulifuatilia mapokezi ya ndege ya juzi, Makonda alishaunda kikosi cha vijana cha kumshangilia kila anapoenda, sasa kitakuwa kimesambaratika
Kinachomuumiza yeye na kuwa chawa alafu taarifa za uteuzi kaziona tu mtandaoni kama watu wengine kama ambao si chawaUkisikia jina la Makonda kiantena kinakusimama.
Makonda ana-akili ndogo alikua hajui hilo alifocus kwenye kumsifia magufuli, kujijengea umaarufu wa kisiasa na kumpotezea mama na kuwadhalilisha wateule wa samiaA very serious mistake amefanya ... kujaribu kumu outside boss wake
Niliona kulikuwa na kakikundi ka watu wasiozidi 20 paleVery correct, kama ulifuatilia mapokezi ya ndege ya juzi, Makonda alishaunda kikosi cha vijana cha kumshangilia kila anapoenda, sasa kitakuwa kimesambaratika
We jamaa kwanini humpendi aliyekuwa kiongozi wako wa chama?Hakuna alichosaidia, ni takataka tu