Pre GE2025 Kwa jicho la mbali, Makonda alikuwa anajijenga yeye na sio chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama anasaidia watu lazima watu wampende tu.ametatua changamoto nyingi sana za wananchi.Mama kachukia kupendwa makonda kaamua kumficha kwenye eneo dogo.kwa uzalendo aliounyesha makonda kunauwezekano siku akawa rais
Tupe mfano wa alichosaida mbona una akili ndogo sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
kwa vyovyote vile asingeweza kufanya kazi na Kinana na Nchimbi style za uongozi ni tofauti sana. Hata kuondoka kwa Chongolo mara tu anaingia alichangia.
 
makonda isafishe arusha matumizi ya bagi na pombe za mataputapu ikome mara moja

pia umeru unaokwamisha miradi ukome mara moja watu wawe kwenye mstari mnyoofu
 
MAKONDA NI MAARUFU TOKA ANAZALIWA, alishakua maarufu kabla na baada, means ni umaarufu wake Upo damuni,
Dhahabu safi ni ile inayopita kwenye moto mkali, KWANINI MAKONDA ATIKISE kila KUTEULIWA na kuenguuliwa kwanini asiwe mwningine, kwanini asiwe NDALICHAKO KUJADILIWA😂😂😂
 
Ameaminiwa kwa kushushwa cheo?
Sawa na kusema WEO kaaminiwa kwenda kua VEO Kijiji fulani hapa TANZANIA
 
Ukisikia jina la Makonda tu kiantena kinakusimama.
 
Very correct, kama ulifuatilia mapokezi ya ndege ya juzi, Makonda alishaunda kikosi cha vijana cha kumshangilia kila anapoenda, sasa kitakuwa kimesambaratika
A very serious mistake amefanya ... kujaribu kumu outside boss wake
 
Very correct, kama ulifuatilia mapokezi ya ndege ya juzi, Makonda alishaunda kikosi cha vijana cha kumshangilia kila anapoenda, sasa kitakuwa kimesambaratika
Niliona kulikuwa na kakikundi ka watu wasiozidi 20 pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…