sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na scholarships za kila mwaka mamia ya watanzania wanaenda Sudan kusoma vyuoni, kwa sasa ni zamu yetu
Kwa hapa bongo lecturers ni kama miungu mtu kwenye maisha ya chuoni, kwa tuliosoma vyuoni tunajua ya kwamba kwao suala la kupata penzi huwa ni ishu simple, hasa ukizingatia hakuna sheria za kuwabana kuwa na mahusiano na wanafunzi.
Mwanafunzi akifeli test, kuchelewa kukusanya assignment, n.k huwa kuna kwenda ofisini kwa lecturer kujaribu kumbembeleza, hapo ndipo lecturers wenye uchu huwa wanachomokea jambo lao. lecturers wengine wanafanya maksudi tu ilimradi binti ajipeleke.
Pia binti akitongozwa na lecturer anaogopa kukataa kuhisi itamuudhi lecturer mwenye marks na akikubali anapata favours kama kupendelewa marks na kupewa vihela maana jamaa wanalipwa si haba,