Kwa jinsi baadhi ya Wahadhiri (Lecturers) wetu walivyo nchini wanafunzi waliotoka Sudan kuna usalama kweli?

Sudan Ina urafiki na Ethiopia & Eritrea huko pia Kuna baadhi ya tamadun huingiliana pia nikaribu sana kuliko Tanzania pia Sudan wanafanya sana Biashara na wanaingiliana sana na Uganda & Kenya kuliko TANZANIA.

Waarabu wengi wanafanya Biashara kubwa Dubai & Saud Arabia wengi wao asili yao/mitaji yao n Sudan ya kaskazini.

Pengine n project maalum yakuja kuua future ya wataalamu(wanafunzi) wetu hapo muhimbili kwani Nani anajali?
Comment kama hii hatukuiona tulipowapa hifadhi wakimbizi wa Ukraine wengi kule Zanzibar wao wakiwa wanawake. Acheni tabia za kuwa na mitazamo hasi kwa kila jambo kwani hizo ni tabia za kihasidi.
 
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na scholarships za kila mwaka mamia ya watanzania wanaenda Sudan kusoma vyuoni, kwa sasa ni zamu yetu

Kwa hapa bongo lecturers ni kama miungu mtu kwenye maisha ya chuoni, kwa tuliosoma vyuoni tunajua ya kwamba kwao suala la kupata penzi huwa ni ishu simple, hasa ukizingatia hakuna sheria za kuwabana kuwa na mahusiano na wanafunzi.

Mwanafunzi akifeli test, kuchelewa kukusanya assignment, n.k huwa kuna kwenda ofisini kwa lecturer kujaribu kumbembeleza, hapo ndipo lecturers wenye uchu huwa wanachomokea jambo lao. lecturers wengine wanafanya maksudi tu ilimradi binti ajipeleke.

Pia binti akitongozwa na lecturer anaogopa kukataa kuhisi itamuudhi lecturer mwenye marks na akikubali anapata favours kama kupendelewa marks na kupewa vihela maana jamaa wanalipwa si haba,

View attachment 2662602

View attachment 2662603

View attachment 2662604
usizunguke mbuyu we nenda tu kajaribu bahati yako
 
Comment kama hii hatukuiona tulipowapa hifadhi wakimbizi wa Ukraine wengi kule Zanzibar wao wakiwa wanawake. Acheni tabia za kuwa na mitazamo hasi kwa kila jambo kwani hizo ni tabia za kihasidi.
Zanzibar hainuhusu, naongelea Tanzania bara Kuna inshu ya udin inakusumbua alafu unaishi dunia ya tatu mwisho hujui Mambo ya ulimwengu
 
Mwenye taarifa wakuu, tusinyimane koneksheni tukaweke hata mabanda ya baba ntulie..... hao watoto wazuri wametoka vitani, tutawanasa hata kwa wali maharage.....😋
Screenshot_20230620-113846.png
 
Zanzibar hainuhusu, naongelea Tanzania bara Kuna inshu ya udin inakusumbua alafu unaishi dunia ya tatu mwisho hujui Mambo ya ulimwengu
Sawa Zanzibar haikuhusu. Vipi wale Wahutu na Watutsi tuliowakaribisha kule Ngara na Kigoma na wengine hadi tukawapa uraia mbona hukusema?
 
Impact ya hao watu unaijua mpaka sasa wameshaifanya nn Tanzania au washazifanyia nn nchi zso dhid ya TANZANIA
 
Ivi inakuaje nchi ina mabinti wazuri hivi alafu inapigana vita tena mbaya zaidi vya wenyewe kwa wenyewe[emoji849][emoji849]
 
Kumtafuna binti Mtanzania kwa sababu una nguvu ya u lecturer juu yake ni kitu kibaya sana.

Kumtafuna binti mkimbizi aliye mbali na kwao kwa sababu ya vita, kwa sababu una nguvu ya u lecturer juu yake ni kitu kibaya squared.

Ningefurahi sana kama rais Samia angekaa na wanafunzi wakimbizi wote, pamoja na wazawa wote, na wahadhiri wote, na kuangalia hii movie "Citation", na kuwa protect hawa wanafunzi wote, wakimbizi na wazawa.

Kweli kabisa, natamani wenye madaraka walione hili huenda ikawa ni sababu ya hata madada zetu wa kitanzania kupata ulinzi kutoka kwa hawa malecturer waovu waliopo vyuoni.
 
Nataman lectures wote wasome comment yako
 
Hilo li janaba sjui,lenyewe litakuwa lishaandaa ka kwake,kakujichakatia.
 
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na scholarships za kila mwaka mamia ya watanzania wanaenda Sudan kusoma vyuoni, kwa sasa ni zamu yetu

Kwa hapa bongo lecturers ni kama miungu mtu kwenye maisha ya chuoni, kwa tuliosoma vyuoni tunajua ya kwamba kwao suala la kupata penzi huwa ni ishu simple, hasa ukizingatia hakuna sheria za kuwabana kuwa na mahusiano na wanafunzi.

Mwanafunzi akifeli test, kuchelewa kukusanya assignment, n.k huwa kuna kwenda ofisini kwa lecturer kujaribu kumbembeleza, hapo ndipo lecturers wenye uchu huwa wanachomokea jambo lao. lecturers wengine wanafanya maksudi tu ilimradi binti ajipeleke.

Pia binti akitongozwa na lecturer anaogopa kukataa kuhisi itamuudhi lecturer mwenye marks na akikubali anapata favours kama kupendelewa marks na kupewa vihela maana jamaa wanalipwa si haba,

View attachment 2662602

View attachment 2662603

View attachment 2662604
Mashallah!!
 
Back
Top Bottom