Kwa jinsi baadhi ya Wahadhiri (Lecturers) wetu walivyo nchini wanafunzi waliotoka Sudan kuna usalama kweli?

Nani kakwambia hao wanakuja kufundishwa na malecturer wa bongo? Hao watafundisha kwa kufuata mitaala ya elimu yao nawatafundishwa na malecturer wao,hapa watasaidiwa mahali tu pakujihifadhi nakufanyia practical
 
Wapo na wa kiume pia.

Hapo kabla ya vita kulikuwaga na scholarships za kila mwaka watanzania wanaenda Sudan kusoma, kwa sasa ni zamu yetu kuwapa msaada wamalize elimu zao hapa kwetu.
Kikubwa kuchanganya damu tu.
Hivi unaweza ukawa unafahamu mahala Kanzu na baraghashia na kobazi vinapouzwa?
 
Shida ni nini?
Unaona kama mbususu zao ni special sana ama?
 
Umemskiliza vizuri janabi alichokisema au umeaua tu kuandika ili iyonekane maprofesa wetu Wana roho mbaya kasema kwanza wale ni wanafunzi wa mwaka wa Tano masomo Yao watafanya Kwa vitendo na pia Wana msimazi wao ambaye ni profesa kutoka katika chuo walichotoka Kiufupi muhimbili imewapa support ya facilities ila hayo mambo ya marks yatasimamiwa na maprofesa wao
 
Hawa sindio walio fukuza waafrica nchi kwao kwa kutaka wabaki peke yao waarabu
 
Kwa visu hivi,Bora Bandari yetu tungewapa Sudani tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
kitu tunachowaza wabongo ndo hicho tu yani tunapenda sana kulambana kuliko chochote najivunia kuzaliwa Bongo maana sio watoto wazee wakubwa wadogo wanafunzi walimu maaskari kila mtu mamamake
 
Ethiopia na Eritrea hakuna maajabu huko ubora wa elimu yao haingii hata nukta kwa ya hapa kwetu. Na kuna wengine wameenda Kenya sio wote wamekuja hapa mkuu.
 
Kumtafuna binti Mtanzania kwa sababu una nguvu ya u lecturer juu yake ni kitu kibaya sana.

Kumtafuna binti mkimbizi aliye mbali na kwao kwa sababu ya vita, kwa sababu una nguvu ya u lecturer juu yake ni kitu kibaya squared.

Ningefurahi sana kama rais Samia angekaa na wanafunzi wakimbizi wote, pamoja na wazawa wote, na wahadhiri wote, na kuangalia hii movie "Citation", na kuwa protect hawa wanafunzi wote, wakimbizi na wazawa.

 
Unawwzia usalama wa mtu mzima na Akili yakeee
 
Samani wamefikia chuo gani huko darslam.......πŸ˜‹
Hapa nataka nikanunue mkanzu na kobazi, kisha nifuge midevu kichwani natupia balaagashia ya kizushi, kisha nakamata rozali ile ya kiislam mkononi na salamaleko nyingi....... nakila kitakacho pita mbeleyangu ni mwendo wa kutamka walahi walahi tu.....😊
 
Mwenye taarifa wakuu, tusinyimane koneksheni tukaweke hata mabanda ya baba ntulie..... hao watoto wazuri wametoka vitani, tutawanasa hata kwa wali maharage.....πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…