Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ukraine walikaribishwa na Waingereza tena waliwapa makazi katika nyumba zao binafsi na hawajuaniKigezo kikuu ni Uislam.
Hamna jingine.
Btw Tunawakaribisha sana sana !!.
Mungu awasaidie; wewe, marafiki zako waliooza akili km wewe na familia zenu. Kamwe sikufikiria kuwa hali ni mbaya kiasi hiki akilini mwenu. Siku zote niliamini huko kuna wasomi sana na hivyo ufikiriaji wenu ni very different kumbe ni mikubwa jinga kabisa kabisa. Dah!!!Sudan Ina urafiki na Ethiopia & Eritrea huko pia Kuna baadhi ya tamadun huingiliana pia nikaribu sana kuliko Tanzania pia Sudan wanafanya sana Biashara na wanaingiliana sana na Uganda & Kenya kuliko TANZANIA.
Waarabu wengi wanafanya Biashara kubwa Dubai & Saud Arabia wengi wao asili yao/mitaji yao n Sudan ya kaskazini.
Pengine n project maalum yakuja kuua future ya wataalamu(wanafunzi) wetu hapo muhimbili kwani Nani anajali?
Acha ujinga hapa sio msikitiniChooonde jamani, najua daima hamupendi tawala yoyote yenye kiongozi mwenye itikadi ya kiislamu (na mpo sahihi sababu hatujui mnayofundishwa huko)
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Dada zetu sijui wanajionaje na mawigi yao
Chakula ya muzeeHuko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na scholarships za kila mwaka mamia ya watanzania wanaenda Sudan kusoma vyuoni, kwa sasa ni zamu yetu
Kwa hapa bongo lecturers ni kama miungu mtu kwenye maisha ya chuoni, kwa tuliosoma vyuoni tunajua ya kwamba kwao suala la kupata penzi huwa ni ishu simple, hasa ukizingatia hakuna sheria za kuwabana kuwa na mahusiano na wanafunzi.
Mwanafunzi akifeli test, kuchelewa kukusanya assignment, n.k huwa kuna kwenda ofisini kwa lecturer kujaribu kumbembeleza, hapo ndipo lecturers wenye uchu huwa wanachomokea jambo lao. lecturers wengine wanafanya maksudi tu ilimradi binti ajipeleke.
Pia binti akitongozwa na lecturer anaogopa kukataa kuhisi itamuudhi lecturer mwenye marks na akikubali anapata favours kama kupendelewa marks na kupewa vihela maana jamaa wanalipwa si haba,
View attachment 2662602
View attachment 2662603
View attachment 2662604
Tuko kama ni failed society tayariSijui tuna shida gani tunawaza ngono mno!
Kwa staili ndio tuseme tutapata viongozi wenye uadilifu? Never everkitu tunachowaza wabongo ndo hicho tu yani tunapenda sana kulambana kuliko chochote najivunia kuzaliwa Bongo maana sio watoto wazee wakubwa wadogo wanafunzi walimu maaskari kila mtu mamamake
Mbona ni wa kawaida tu.Ni waremboo
Fafanua project ya kuua future ya wataalamu kivipi?Sudan Ina urafiki na Ethiopia & Eritrea huko pia Kuna baadhi ya tamadun huingiliana pia nikaribu sana kuliko Tanzania pia Sudan wanafanya sana Biashara na wanaingiliana sana na Uganda & Kenya kuliko TANZANIA.
Waarabu wengi wanafanya Biashara kubwa Dubai & Saud Arabia wengi wao asili yao/mitaji yao n Sudan ya kaskazini.
Pengine n project maalum yakuja kuua future ya wataalamu(wanafunzi) wetu hapo muhimbili kwani Nani anajali?