Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

Tuwasaidie vipi labda, maana kama unasema walidanganywa wapigane na walivyo waarabu wajinga wakapigana basi waachiwe wapigane, atakayeshinda ndiye wetu.
Kubwa la waarabu Saudi Arabia imejaribu kuingilia kati ila hawaisklizi, sasa Mswahili wa kwa Mtongole nani atakuskliza.
Kuna watakaokimbilia EA kwa kisingizio cha ukimbizi na tutawapokea! Shida itaanzia hapo
 
Wanapiganishwa? Be more specific.
Yani wapiganishwe tu wamekuwa majogoo au mbwa? Hao majenerali wenyewe hawana maslahi yao wao binafsi?
Binadamu , especially wa ukanda wa Africa, huwa hatuna tabia ya kuwa responsible for our own misdeeds.
We only want to point fingers at others for our own shortcomings.
Hawa wamechonganishwa na kinara wa uchonganishi duniani anajulikana.. BTW vita ni biadhara kubwa! Kusipokuwa na wanaogombana kuna chumi za nchi huyumba
 
Hawa wanapiganishwa lakini kwa malengo ya bwana wakubwa
Unaishi Dunia ipi!!!???
Watu wameshindwa kuafikiana kwa tamaa zao za madaraka (kila mmoja anataka kuwa Rais) alafu unakuja na ngonjera za kugombanishwa!!!!???
 
Unaishi Dunia ipi!!!???
Watu wameshindwa kuafikiana kwa tamaa zao za madaraka (kila mmoja anataka kuwa Rais) alafu unakuja na ngonjera za kugombanishwa!!!!???
Changia kwa nidhamu basi kuna mengi huyajui.. Omba uelimishwe
 
Back
Top Bottom