Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

Kuna watakaokimbilia EA kwa kisingizio cha ukimbizi na tutawapokea! Shida itaanzia hapo
 
Hawa wamechonganishwa na kinara wa uchonganishi duniani anajulikana.. BTW vita ni biadhara kubwa! Kusipokuwa na wanaogombana kuna chumi za nchi huyumba
 
Hawa wanapiganishwa lakini kwa malengo ya bwana wakubwa
Unaishi Dunia ipi!!!???
Watu wameshindwa kuafikiana kwa tamaa zao za madaraka (kila mmoja anataka kuwa Rais) alafu unakuja na ngonjera za kugombanishwa!!!!???
 
Unaishi Dunia ipi!!!???
Watu wameshindwa kuafikiana kwa tamaa zao za madaraka (kila mmoja anataka kuwa Rais) alafu unakuja na ngonjera za kugombanishwa!!!!???
Changia kwa nidhamu basi kuna mengi huyajui.. Omba uelimishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…