Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni.

Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa.

Jamaa watakuja na mikakati ya kutafuta magoli ya mapema hivyo Yanga inapaswa kuwa makini na watulivu isijekutokea yale yaliyotokea vs Al Hilal vs Simba. Kutoka mchezoni kwa kuruhusu goli la mapema
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
 
Sawa ndio makombe yenu ya kujisifia.
Kombe la kuwafunga giants
Kombe la robo fainali
Kombe la kufa kiume
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Kombe la simba lilikuwa kombe la mbuzi lile.
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Mwaka huu mtawehuka kama Wydad imewatoa na bado inafukuza kocha jiulize wamekuchukuliaje
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Unatuletea taarifa ya makombe ya kuku Enzi za ujamaa , unataja taja ujinga wa Simba mbele ya timu za kiume , hebu jarbu kutumia akili basi
 
Yanga msitutie aibu!! Washaanza kutusema eti tunacheza na mgonjwa mahututi
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Kombe la washindi ndiyo kombe gani hilo?

YANGA IMECHEZA NA GIANTS KAMA
TP MAZEMBE
AL HILAL
US MONASTIR
CLUB AFRICAIN n.k unaanzaje kuwalinganisha?
 
Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni.

Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa.

Jamaa watakuja na mikakati ya kutafuta magoli ya mapema hivyo Yanga inapaswa kuwa makini na watulivu isijekutokea yale yaliyotokea vs Al Hilal vs Simba. Kutoka mchezoni kwa kuruhusu goli la mapema

Wakati wana washambulia Gongowazi
Na wao wa south wajiandae kwa counter attack km goli la pili kwa Mkapa na goli la pili walilofungwa Rivers kule Nigeria…

Gallants out
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Kombe la Washindi?
 
Wewe muongo sana. SIMBA mwaka 1993 ilicheza fainali ya CAF Cup ambayo ilikua abolished 2004 na siyo CAF Winners' Cup. Wewe endelea na kaulimbiu yenu ya "KUFA KIUME" tuache na YANGA yetu.
 
Kwahiyo mkuu hiyo Marumo imecheza na Yanga tu hadi kufika hapo?.
atwambie kama SIMBA na PYRAMIDS ipi bora? asilete takwimu za maoni ya taasis binafisi eti SIMBA ya 9! alete takwimu za CAF au FIFA.
 
SIMBA ILICHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

IMEPOTA miaka 20 hakuna timu iliyofika hapo.

Pamoja na kombe la shirikisho kuwa na timu mchekea mno lakini yanga Wana kazi kubwa Sana south Africa.

Marumo wanahatihati ya kushuka Daraja lakini wameisumbua yanga kiasi KILE

SIMBA IMECHEZA NA GIANT KAMA
OLANDO.
KAIZERCHEEF.
MAMELOD.
SUPER SPORT NK.

YANGA WANA KAZI NGUMU KWA TIMU INAYOTETEA MAISHA YAKE SOUTH.
Hahaaa wazee wa kufa kiume
 
Kombe la Washindi lipi!?
 
Back
Top Bottom