Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

oneni wenzenu wanavyojenga madaraja ya kileo huko Afrika Kusini wala si mabali, si wangelikwenda kuomba usaidizi wa kandarasi na michoro.
Tanzania watu wanavyopenda kuifata barabara just imagine ni watu wangapi serikali ingelipa kupisha huo mtawanyiko wa barabara? Half of the budget ingeishia hapo.
 
Hii barabara kutenganishwa na mstari naona ni sawa tu Mkuu kwa sababu Kuna kipande kikubwa tu hapo katikati kimetenganishwa na mstari na si blocks..nadhani ni baruti Hadi Shekilango kama sijakosea.

Ila sema tu barabara inaonekana ipo chini ya kiwango,Labda ngoja tusubiri iishe.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sema taratibu wakisikia wenyenchi wataweka tozo ya marekebisho.
 
Sio kweli
 
Ukiangalia hata kwa pembeni ni kama vile kuna nyufa, sasa jiulize nyufa zinakaaje kwenye zege iliyoshiba nondo nzito na simenti grade one (uimara wa uhakika) [emoji848][emoji2960]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia hata kwa pembeni ni kama vile kuna nyufa, sasa jiulize nyufa zinakaaje kwenye zege iliyoshiba nondo nzito na simenti grade one (uimara wa uhakika) [emoji848][emoji2960]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Eti zege imekwanyuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye ncha zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii nchi yetu labda Gharika lirudiwe. Tuanze upya
 
Alipo Mwigulu tegemea Wizi Mkubwa mnoo. Sema Mama ndio hivyo, uwezo,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…