Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

Kaka kuna kitu kibaya unakiona kwa kukitazama
tu wala hahuitaji utepe na mkasi kuona kwamba zile njia ni nyembamba mno. Huwezi kuzilinganisha na Kijazi wala Mfugale fly bridges
Malalamiko yawe ya msingi, barabara haijaisha mainjinia uchwara washaanza kuponda! Hizo flyover zote hazijaisha wanafungua kupunguza foleni tu, na bado mnalalamika.
 
Kaka kuna kitu kibaya unakiona kwa kukitazama
tu wala hahuitaji utepe na mkasi kuona kwamba zile njia ni nyembamba mno.
Wakati mwendokasi ya kimara inajengwa, humu humu mainjinia kama wewe waliangalia kwa macho wakasema zle njia ni nyembamba sana kutakuwa na ajali nyingi sana za malori mpaka leo hamna lolote. Kwahio unafikiri walijenga hizo flyover bila kuzingatia upana wa magari mawili kupita? Haya niambie flyover ile nyembamba mno kama usemavyo, kipimo kinatakiwa kiwe kiasi gani na ile imepungua kwa kiasi gani?
 
Nimesahau tena, kuna injinia wa humu jf alisema flyover ya ubungo ni fupi sana malori yatagusa!
 
Mkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.
Strabag ni mjerumani bila shaka. Tenda ile angepewa mjapani angefanya vyema pia lami ya Ubungo-Mwenge alifanya Konoike toka enzi za Mkapa sijaona kiraka mule
 
Mita 5 ila mle hata 3 hakuna
Wakati mwendokasi ya kimara inajengwa, humu humu mainjinia kama wewe waliangalia kwa macho wakasema zle njia ni nyembamba sana kutakuwa na ajali nyingi sana za malori mpaka leo hamna lolote. Kwahio unafikiri walijenga hizo flyover bila kuzingatia upana wa magari mawili kupita? Haya niambie flyover ile nyembamba mno kama usemavyo, kipimo kinatakiwa kiwe kiasi gani na ile imepungua kwa kiasi gani?
Ta
 
Mkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.
Huyo Strabag nilikutana naye Lunzewe huko. Vipi Alisha imaliza hiyo barabara?
 
Back
Top Bottom