Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

Fly over ya VETA hadi moyo unaniuma, aisee standard ziko chinii sanaaaaa, hivi kwanini wasijenge kama TAZARA au Ubungo pale, yaani Fly over ya Chang'ombe mataa pale tumeumizwa, alafu kwa juu limepinda tena, alafu very narrow, very rough, ina mawimbi balaa, i believe Mh. Rais atampiga maswali mazito Waziri Mbarawa atoe sbb za kutosha, la sivyo mkandarasi arudie kunyoosha na kuweka standard upya.
 
Aisee pale wanapojazia kifusi niliona. Nikasema me sio Engineer bwana. Labda.
 
Daraja la chang’ombe pale tumepigwa hakuna kitu lipo chini ya Kiwango mimi sio injinia ila pale tumepigwa kwanza hata ukiliangalia tu limepindapinda hasa Kingo za pembeni
 
Mbarawa alifanya haraka kufungua hii flyover. Ukweli haipo sawa
 

Mkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.
 
Subirini iishe.
 
Mi natabiri tu lazma kutatokea mashimo kwenye ile daraja ndani ya kipindi kifupi sana.
 
Hawa watu hawana shukrani na ni walalamishi sana.
Wacha tulalamike tu maana kuandamana live haiwezekani. Tutapewa kichapo cha mbwa
kachoka na wahuni wasiojali makapuku.
 
Wacha tulalamike tu maana kuandamana live haiwezekani. Tutapewa kichapo cha mbwa
kachoka na wahuni wasiojali makapuku.
Malalamiko yawe ya msingi, barabara haijaisha mainjinia uchwara washaanza kuponda! Hizo flyover zote hazijaisha wanafungua kupunguza foleni tu, na bado mnalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…