Malalamiko yawe ya msingi, barabara haijaisha mainjinia uchwara washaanza kuponda! Hizo flyover zote hazijaisha wanafungua kupunguza foleni tu, na bado mnalalamika.
Wakati mwendokasi ya kimara inajengwa, humu humu mainjinia kama wewe waliangalia kwa macho wakasema zle njia ni nyembamba sana kutakuwa na ajali nyingi sana za malori mpaka leo hamna lolote. Kwahio unafikiri walijenga hizo flyover bila kuzingatia upana wa magari mawili kupita? Haya niambie flyover ile nyembamba mno kama usemavyo, kipimo kinatakiwa kiwe kiasi gani na ile imepungua kwa kiasi gani?Kaka kuna kitu kibaya unakiona kwa kukitazama
tu wala hahuitaji utepe na mkasi kuona kwamba zile njia ni nyembamba mno.
Strabag ni mjerumani bila shaka. Tenda ile angepewa mjapani angefanya vyema pia lami ya Ubungo-Mwenge alifanya Konoike toka enzi za Mkapa sijaona kiraka muleMkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.
TaWakati mwendokasi ya kimara inajengwa, humu humu mainjinia kama wewe waliangalia kwa macho wakasema zle njia ni nyembamba sana kutakuwa na ajali nyingi sana za malori mpaka leo hamna lolote. Kwahio unafikiri walijenga hizo flyover bila kuzingatia upana wa magari mawili kupita? Haya niambie flyover ile nyembamba mno kama usemavyo, kipimo kinatakiwa kiwe kiasi gani na ile imepungua kwa kiasi gani?
Huyo Strabag nilikutana naye Lunzewe huko. Vipi Alisha imaliza hiyo barabara?Mkandarasi wa kimara Posta alikuwa Strabag. Barabara za strabag nchi hii zinaviwango yawezekana budget yao iko juu.