Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

Serikali ya Uswizi imepiga marufuku all public and private gatherings toka Jumatatu.

After Switzerland introduces lockdown, the Swiss keep wary eye on Italy’s worsening situation next door

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kwa hiyo unataka kusema tumekunywa chai au?
Chai, tena bila sukari.

amu , Lenie , Allen Kilewella , gilldenu , PTER , funzadume , dexterous , Hannah , Mshuza2 , Mgwebe , mng'ato , Mgeni wa Jiji , Hornet , King snr , dingimtoto , mkulu senkondo , Leonard Robert , Zeus1 , Perfectz , richie ze best , TENI , 666 chata .

Hahahaa wakuu njooni huku muone mjeneva Parabora alivyojipizia 'bao' ndani ya Baraque Night Club jijini Geneva.

Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe 😂😂

Cc: Kwa mtetezi wake mkuu madam Wangari Maathai .

-Kaveli-
 
Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe [emoji23][emoji23]

Hahahah! Jamaa kwa mwaka huu nadhani yeye ndio apewe kikombe

Huyo dada wangari
ndie mtetezi wake??
 
amu , Lenie , Allen Kilewella , gilldenu , PTER , funzadume , dexterous , Hannah , Mshuza2 , Mgwebe , mng'ato , Mgeni wa Jiji , Hornet , King snr , dingimtoto , mkulu senkondo , Leonard Robert , Zeus1 , Perfectz , richie ze best , TENI , 666 chata .

Hahahaa wakuu njooni huku muone mjeneva Parabora alivyojipizia 'bao' ndani ya Baraque Night Club jijini Geneva.

Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe 😂😂

Cc: Kwa mtetezi wake mkuu madam Wangari Maathai .

-Kaveli-
Hii karantini isiishe aisee tuendelee kupata burudani kama hizi😂😂
Ni aibu mtu mzima kuvuliwa nguo hadharani af bado unajitahid kupambana ukijua unaprove wrong watu kumbe ndio unazidi kuonyesha ujinga wako kwa watu. So sad
Ila watu wanaomtetea mmh wanaanza kutia mashaka sasa
 
amu , Lenie , Allen Kilewella , gilldenu , PTER , funzadume , dexterous , Hannah , Mshuza2 , Mgwebe , mng'ato , Mgeni wa Jiji , Hornet , King snr , dingimtoto , mkulu senkondo , Leonard Robert , Zeus1 , Perfectz , richie ze best , TENI , 666 chata .

Hahahaa wakuu njooni huku muone mjeneva Parabora alivyojipizia 'bao' ndani ya Baraque Night Club jijini Geneva.

Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe 😂😂

Cc: Kwa mtetezi wake mkuu madam Wangari Maathai .

-Kaveli-
Yan wewe hii inshu imekutouch sana ama kuna mengine behind the scene?
Seems You're totally concerned.
 
Umetuabisha kama nchi. Haukutuwakilisha vema ninawasiliana na ubalozi urudi nchini umeshindwa kutuwakilisha. Nina wasiwasi wew utakua mwanaume wa Dar
 
amu , Lenie , Allen Kilewella , gilldenu , PTER , funzadume , dexterous , Hannah , Mshuza2 , Mgwebe , mng'ato , Mgeni wa Jiji , Hornet , King snr , dingimtoto , mkulu senkondo , Leonard Robert , Zeus1 , Perfectz , richie ze best , TENI , 666 chata .

Hahahaa wakuu njooni huku muone mjeneva Parabora alivyojipizia 'bao' ndani ya Baraque Night Club jijini Geneva.

Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe [emoji23][emoji23]

Cc: Kwa mtetezi wake mkuu madam Wangari Maathai .

-Kaveli-
Kajamaa kaongo balaa!! Kumbe kako tandale sokoni hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amu , Lenie , Allen Kilewella , gilldenu , PTER , funzadume , dexterous , Hannah , Mshuza2 , Mgwebe , mng'ato , Mgeni wa Jiji , Hornet , King snr , dingimtoto , mkulu senkondo , Leonard Robert , Zeus1 , Perfectz , richie ze best , TENI , 666 chata .

Hahahaa wakuu njooni huku muone mjeneva Parabora alivyojipizia 'bao' ndani ya Baraque Night Club jijini Geneva.

Nchi imetangaza official total lockdown, ila baharia akatimba night club kula bata, na akajipizia bao baada ya kuona mapaja matamu ya watoto weupe 😂😂

Cc: Kwa mtetezi wake mkuu madam Wangari Maathai .

-Kaveli-

Henu nitue mkuu..had unaboa...mbona wenhi tu wametetea iweje mimi tu likuume? Una shida gani na mimi wewe? Had umesema mie ni genge moja nikasema ndiyo genge moja ufurahi...ina maana hizo id zingine zilizotetea wewe tu umeguswa na mimi!! Hebu relax mkuu..nature haitak hivyo utapata magonjwa buree...! Hebu kuwa wakiume basi!
 
"kuwa wa kiume basi" shikamoo mamiloooo🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom