Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Naomba jicho mkuu niliwahi kabla wahuni hawajalichakaza.
kwa hio wewe ni pisikali, wanaume tumepungua sana aiseeUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Bora hata mmuombe make ndo anachokitafuta, nyuzi zake ni kujisifia tu uzuri wake.Naomba jicho mkuu niliwahi kabla wahuni hawajalichakaza.
Uongo, mvuto namba 1 wa mwanaume sio mafanikio yake, bali muonekano wake, mvuto namba 2 ambao nauita (mvuto feki) wa mwanaume ni pesa zake/mafanikio leo dadaUnateseka sana Mpaka pale utakapojua u handsome wa mwanaume ni pesa yake na mvuto wake ni mafanikio yake!!!!