Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Kama una muonekano unaousema maana ninaona kama ni thread changamsha genge Ila kama upo serious.

Hiyo attention unayoitaka utaipata kwenye modelling, customer service, video vixen, ushering, receptionist, Tv Presenter, brand ambassador etc

Ukijiongeza ukawa vizuri kichwani,

Kuna kazi za PR and communications au kuwa spokeperson wa kampuni etc..

Kulipobakia, ukifungua mdomo wakaona ni empty set ni ngumu kutoboa
 
😂😂😂😂 nimecheka kifala sana. Lol
 
IMG_3326.JPG
 
Kama una muonekano unaousema maana ninaona kama ni thread changamsha genge Ila kama upo serious.

Hiyo attention unayoitaka utaipata kwenye modelling, customer service, video vixen, ushering, receptionist, Tv Presenter, brand ambassador etc

Ukijiongeza ukawa vizuri kichwani,

Kuna kazi za PR and communications au kuwa spokeperson wa kampuni etc..

Kulipobakia, ukifungua mdomo wakaona ni empty set ni ngumu kutoboa

Huyu huko hata hayupo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom