Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Kabisa unaandika na kupost huu upupu. Wazazi wa Gen Z walaumiwe mno kwa haya malezi ya hovyo!
 
Bila picha yako uzi huu ni batili
Labda ndo huyu. Yu neva no!

Screenshot_20230612_045050_Chrome.jpg
 
Maisha ya Tanzania ...hizi ndio akili ccm wanapenda sana ili watawale milele...
Sio kitambo kirefu atakuja anayesema wazi anaomba aingiziwe.
 
Bia inyweke hapa iishe , kinamna itabadilishiwa matumizi , kitu ambacho kwa sisi walevi ni haramu.
Haibadiliki matumizi, na ushahidi utakuwepo.
Sasa mie hapo mamtoni nafikaje sahivi? Hata kwa air luparu haiwezekani.

Em fanikisha ki namna bhana, Lol
 
Haibadiliki matumizi, na ushahidi utakuwepo.
Sasa mie hapo mamtoni nafikaje sahivi? Hata kwa air luparu haiwezekani.

Em fanikisha ki namna bhana, Lol
Mhm hapa ngaramtoni kwa hapo dar ukishika Bm ni chapu tu
 
Back
Top Bottom