Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu


Huyu huko hata hayupo 😂😂😂
Unajikuta nani kwa mfano? Huna jipya👌👌👌👌
 
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.

Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Dogo unajilegeza hadi aibu yaani
 
Uongo, mvuto namba 1 wa mwanaume sio mafanikio yake, bali muonekano wake, mvuto namba 2 ambao nauita (mvuto feki) wa mwanaume ni pesa zake/mafanikio leo dada
Jamaaa,hivi uko serious unatutambiaa uzuri wako we mvulana?maana nazani bado ujafikia uwanaume...unashindana na dada zako.innalilaaaah wainalilaaah rajuan.....
 
Unaenda kwenye Interview ya upinde?
 
Wai a yu GE??
IMG-20250401-WA0002.jpg
 
Uzuri huwa unabeba sana, watu yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kuna watu wana allergy na perfume kali watakutoa kwenye interview ndani ya sekunde tu sababu zitawafanya kupiga chafya nk

Na kazi sahau
 
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.

Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
R.I.P mr handsome
 

Huyu huko hata hayupo 😂😂😂
Mwanaume unawazaje muonekano wako 24/7 na unafurahia kuitwa mzuri kuliko dada ako 🙌🏾
 
Back
Top Bottom