Haha inasikitisha sana broo evelynBora hata mmuombe make ndo anachokitafuta, nyuzi zake ni kujisifia tu uzuri wake.
Anachokitafuta atakipata.....
View attachment 3291371
Mkuu umerudi kujitetea kwa ID nyingine acha hizo braza.Uongo, mvuto namba 1 wa mwanaume sio mafanikio yake, bali muonekano wake, mvuto namba 2 ambao nauita (mvuto feki) wa mwanaume ni pesa zake/mafanikio leo dada
Mtoto anautaka......Haha inasikitisha sana broo evelyn
Hii thread inaishusha hadhi JFUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
wanaume wahangaike na uhandsome wako serious? wewe ni mwanaume kweliUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Ngoja nimpakie mkongo.Mtoto anautaka......
Kwa hao wanaowasailish ni vibint au vijan, be smart don't be fullyUzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Sijasoma comment yako ila nimesikitika sanaGharama zako za kuinamishwa na kupumuliwa mgongoni ni sh ngapi?
Haya mambo yanasikitisha sana mkuu 😭Sijasoma comment yako ila nimesikitika sana
Ni mtu mmoja huyu jamaa mada zake ni za kishenzi.
Boss huyu mbona km kiongozi moja wa russian